John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,137
- 2,147
Napenda kutumia fursa hii kutoa pongezi kwa kilabu ya Simba kwa kutinga katika orodha ya vilabu bora barani Afrika kwa mujibu wa Shirika la kimataifa linalojihuisha na takwimu za soka. Hongera kwa uongozi, Wadhamini na benchi zima la ufundi. Tuendelee kuwa mfano kwa vilabu vingine hapa nchini kuyafikia mafanikio hayo.