Hongera Simba sc kutinga orodha vilabu bora Afrika

Kiingereza chakusengelema hiki hakina hata muunganiko ndio unadhani umejua😅😅. Unafikiri kiingereza unaandika kiswahili!.
 
Aliyechukua kombe mbele ya yanga hata Top 10 hayumo?! Kweli pesa za wizi na ufisadi zinatumika kuvuruga mambo mengi sana

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Kipindi hiki ukitaka kuwavuruga mbumbumbu fc, wawekee tu takwimu za timu bora!!!
 
Ndio maana nimetoa kauli "kutukanana" sikusema "kutukana"
Na la mwisho ni kwamba wewe ndiye uliyeanza kutukana ndugu zako, marafiki zako, na watu wengine wote wanaoshabikia Yanga kwa kutoa kauli hii "ukiwa yanga na akili zinacheza kidogo."
Hyo ni nukuu ya haji manara na inajulikana na kila mtu kwa hyo sisi tuna quote tu.
 
Kiingereza chakusengelema hiki hakina hata muunganiko ndio unadhani umejua[emoji28][emoji28]. Unafikiri kiingereza unaandika kiswahili!.
You idiot reply with English please I don't understand swahili.
 
wewe akili zako zinagongea matakoni, huwez jifikria kuwa Yanga ni club ndogo hasa katka mashindano ya CAF, haikuwa na historia nzuri kwenye hayo mashindano, lakin from no where inakuja kucheza hadi fainal ya shirikisho! Timu ilikuwa na point 0.5 za CAF, uliza kwa sasa ina point ngap na hizo point imezikusanya msimu gan then uliza point za club yako na imezikusanya misimu mingap! We vip
 
Aliyechukua kombe mbele ya yanga hata Top 10 hayumo?! Kweli pesa za wizi na ufisadi zinatumika kuvuruga mambo mengi sana

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Tatizo akili hazimo IFFHS wana angalia performance sio makombe na takwimu zao zinahusiaha official matches zote sio shindano moja mfvano leo USMA leo kapigwa kwenye ligi ya kwao juzi Yanga kampa [emoji2772][emoji2772][emoji2772][emoji2772][emoji2772] FC kibano wanachukua hizo daya
 
Hii takwimu ni sahihi kabisa kwa kuwa imeangalia mashindano ya kimataifa Yanga kufika fainali Shirikisho na ya kubeba makombe ya ndani.

Yanga ni bingwa wa ligi misimu miwili mfululizo, inaongoza ligi na pia nadhani takwimu pia imehusisha 5G khamsa kono la nyani kwenye derby maana Africa nzima hakuna derby timu moja imeishindilia mwenzake khamsa zaidi ya Yanga kuikanda Simba khamsa ndo maana Yanga Iko juu ya Mamelodi!!

Kwahiyo hutaki Yanga kuwa klabu Bora au?
 
Uzi hauwahusu yanga, unahusu kutoa pongezi kwa simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…