Hongera Sintah kwa ku 'graduate'

mkuu km kweli si umpe link huyo jamaa ili kumdhibitishia ww msomi wa nje ya nchi sio hapa wamezoea kutafuniwa.

Unaweza Hata Wewe Pia Ukamsaidia Mkuu Kwani Nipo Busy Sasa Na Mambo Ya Msingi.
 
Ww ndio unaesoma unajua zaidi mm nimesoma bongo mwanzo mwisho mkuu uku tunatafuniwa sio km uko mnakosoma nyie.

Sasa Kama Umeshakiri Kuwa Huko Bongo Mmezoea " Kutafuniwa " Kwanini Usiendelee Tu Kuwaambia " Wakutafune? ".
 
Ha ha ha haaa. Akikujibu naomba kujuzwa.
Duu wewe acha tu kuna mada nyingine kaileta sijui kuhusu Magari ndio kanijibia huko
Kichwa cha mada yenyewe kinasema kwa taarifa za uhakika zilizonifikia hivi punde .........itafute ujionee mwenyewe
 
Hongera sana Sintah. Sir Nature Kibla Msitu wa Vina alionja akapagawa. Akalalamikaaaaa we kuwa 'nenda kalipize kwenye TV ', naona wewe ukaona TV miyeyu umetusua shuleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…