Hongera Sintah kwa ku 'graduate'

Hongera Sintah kwa ku 'graduate'

Ww ndio unaesoma unajua zaidi mm nimesoma bongo mwanzo mwisho mkuu uku tunatafuniwa sio km uko mnakosoma nyie.

Sasa Kama Umeshakiri Kuwa Huko Bongo Mmezoea " Kutafuniwa " Kwanini Usiendelee Tu Kuwaambia " Wakutafune? ".
 
Ha ha ha haaa. Akikujibu naomba kujuzwa.
Duu wewe acha tu kuna mada nyingine kaileta sijui kuhusu Magari ndio kanijibia huko
Kichwa cha mada yenyewe kinasema kwa taarifa za uhakika zilizonifikia hivi punde .........itafute ujionee mwenyewe
 
Hongera sana Sintah. Sir Nature Kibla Msitu wa Vina alionja akapagawa. Akalalamikaaaaa we kuwa 'nenda kalipize kwenye TV ', naona wewe ukaona TV miyeyu umetusua shuleni.
 
Back
Top Bottom