GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
mkuu km kweli si umpe link huyo jamaa ili kumdhibitishia ww msomi wa nje ya nchi sio hapa wamezoea kutafuniwa.
Unaweza Hata Wewe Pia Ukamsaidia Mkuu Kwani Nipo Busy Sasa Na Mambo Ya Msingi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu km kweli si umpe link huyo jamaa ili kumdhibitishia ww msomi wa nje ya nchi sio hapa wamezoea kutafuniwa.
Ww ndio unaesoma unajua zaidi mm nimesoma bongo mwanzo mwisho mkuu uku tunatafuniwa sio km uko mnakosoma nyie.Unaweza Hata Wewe Pia Ukamsaidia Mkuu Kwani Nipo Busy Sasa Na Mambo Ya Msingi.
Ww ndio unaesoma unajua zaidi mm nimesoma bongo mwanzo mwisho mkuu uku tunatafuniwa sio km uko mnakosoma nyie.
Ha ha ha haaa. Akikujibu naomba kujuzwa.INTERNATIONAL RELATIONSHIP NI KITU GANI ???
Duu wewe acha tu kuna mada nyingine kaileta sijui kuhusu Magari ndio kanijibia hukoHa ha ha haaa. Akikujibu naomba kujuzwa.
Kutafunwa na kutafuniwa ni vitu tofauti mkuu najua hilo uko hamjifunziSasa Kama Umeshakiri Kuwa Huko Bongo Mmezoea " Kutafuniwa " Kwanini Usiendelee Tu Kuwaambia " Wakutafune? ".
Sio Dr. sasa ni Prof.Kama kipi mkuu? Niko na Dr. Joyce Ndalichako hapa karibu