Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Inaleta faraja pale unapoona ndugu au rafiki anapotoka ukamrudisha kwenye mstari naye akakubali kurudi kwenye mstari.
Nilimshauri Joseph Mbilinyi Sugu hapa JF aachane na tabia za wavulana.
www.jamiiforums.com
Ni jambo la kutia moyo kupitia JF wadau walimfikishia ujumbe either one to one au by tag lakini all in all kwa muono wangu na previous post zake amejirekebisha kwa lile nililoona kama political figure alikuwa anapotea.
Hongera kwa usikivu wako Sugu, japo Muarobaini ni mchungu lakini ndio tiba.
Nilimshauri Joseph Mbilinyi Sugu hapa JF aachane na tabia za wavulana.
Kwa watu walio karibu na Joseph Mbilinyi Sugu, wamfikishie ushauri huu wa bure
Sugu aachane na mambo ya kitoto, kukubalika kwa Sugu Mbeya au popote pale hakuna uhusiano wowote kwamba kwa miaka 10 ya ubunge wake kuna jambo la ajabu au la maana sana amefanya jimboni Mbeya mjini la hasha, Bali ni kazi yake ya Sanaaa ndio imeendelea kumuweka mioyoni mwa watu hasa vijana, hata...