Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Mtoto hana kosaSugu hahangaiki na yule malaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto hana kosaSugu hahangaiki na yule malaya
Ninaungana na wewe kwenye hili.Hilo la kifamilia ni gumu sana ninaelewa vizuri matatizo ya familia, ila kama mtoto amefikisha miaka 7 basi hawa wanaojiita wanaharakati wa kijinsia wamtetee Sugu kisheria apewe haki ya kukaa na mtoto badala ya mtoto kugeuzwa mtaji na mama yake.
Izingatiwe Faiza hana mtoto mmoja tu, amezaa na mwanaume mwingine lakini kila siku matusi ni kwa Sugu.
Sugu anastahili kutetewa na hawa wanaharakati wa kijinsia katika hili, cha kusikitisha jamii mpaka leo inaamini wanaume hatuumizwi na unyanyadaji tunaofanyiwa na wanawake.
Sugu alimchukua mtoto akaanza makelele ni mpumbafu snMtoto hana kosa
Wewe hujui chochote , nilishakuonya mara kadhaa humu , huyo mbeba majeneza hatakiwi Mbeya , huelewi nini ?Huyu Sugu kurudi Mbeya kama mbunge sidhani kama anaweza kutoboa tena
Bwana Mdogo, siwezi kumshauri haya Monde boy wala Diamond Platnumz, Sugu ni political figure labda umeamuwa kujizima data.MTU kuishi Maisha yake bila kuvunja sheria za nchi, Sheria za dini yake, Sheria za utamaduni wake ndio uvulana?
Yaani MTU aposti Maisha yake kwenye akaunti yake, uuite uvulana?
MTU aposti miradi au Mali zake mtandaoni ndio uuite uvulana?
Umaskini ni kitu kibaya Sana.
Hi I MTU akisema na kupost magari yake au Hoteli yake anavunja sheria gani iwe sheria ya nchi, dini ya utamaduni?
Huyo mwanamke hafai kulelea mtoto.Sugu alimchukua mtoto akaanza makelele ni mpumbafu sn
Jamaa kachagua kukaa kimya wala hahangaiki nayeHuyo mwanamke hafai kulelea mtoto.
Nasema hafai na sishangai mamlaka zimefumbia macho hili labda wakidhani wanamkomoa Sugu kwa kuwa ni CJADEMA. Lakini mtoto hajatendewa haki kabisaaa
Sugu hajaonesha kumkataa bintiye lakini kimsingi mama amefanya vituko ambavyo vinapelekea mwenye akili timamu yeyote kujiweka pembeni