Hongera Sugu kwa kuwa msikivu, na mliyompa ushauri wangu kutoka JF mbarikiwe, ujumbe umefika

Ninaungana na wewe kwenye hili.

Jamii inayomsapoti Faiza inafanya kosa kubwa dhidi ya mtoto. Nimewaza kuwa mjadala alo upost Faiza majuzi hapa ni dalili mbaya sana kwa ustawi wa mtoto kiusalama wake. Mtoto ametumika sana mitandaoni kumchafua Sugu na hata hivi karibuni mama yake alimrekodi mtoto akimpa onyo baba yake kuachana naye. Haya sasa, juzi hapa Faiza anawaka kuwa mtoto anamlilia baba yake. Hii ni wazi kuwa hali si nzuri kati ya mtoto na mama. Maigizo yamefika kikomo. Zipo taarifa wazazi kuua watoto na wao kujiua. Hatupendi kufika huko. Faiza hayuko sawa. Sehemu yake ni Mirembe hadi akae sawa.


Sugu asaidiwe kisheria amchukue mwanae kwa usalama wa binti
 
Bwana Mdogo, siwezi kumshauri haya Monde boy wala Diamond Platnumz, Sugu ni political figure labda umeamuwa kujizima data.
 
Sugu alimchukua mtoto akaanza makelele ni mpumbafu sn
Huyo mwanamke hafai kulelea mtoto.

Nasema hafai na sishangai mamlaka zimefumbia macho hili labda wakidhani wanamkomoa Sugu kwa kuwa ni CJADEMA. Lakini mtoto hajatendewa haki kabisaaa

Sugu hajaonesha kumkataa bintiye lakini kimsingi mama amefanya vituko ambavyo vinapelekea mwenye akili timamu yeyote kujiweka pembeni
 
Jamaa kachagua kukaa kimya wala hahangaiki naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…