Pwahaahaha...subiri kidogo utaskia wanahabari na viongozi wamefurika katika uzinduzi wake😛😛😀😀
Monkeys interchange kama hii ya Dar es salaam unasema ni flyover 😂😂😂😂 Show me that flyover of Kisumu😂😂 Monkey atabaki kuwa monkey 😂😂😂Unataka kuniambia kwamba mji wa Kisumu ulipata flyover yake ya sita miaka kadhaa kabla ya Tanzania kupata flyover yake ya kwanza??? [emoji15][emoji15][emoji15]