Absolutely - wanachofanya ni kung'ata sana na kupulizia kidogo.Sijaelewa wamebadika nn? Jana wametoa barua ya kuönyesha makubaliano waki imply chadema wameyakiuka na hawakuonyesha kampeni yoyote ya chadema
TBC REMAIN THE ONLY RELIABLE NEWS GIANT IN THE COUNTRY.......! HURUSHA KILICHO BORA NA KU-TUPILIA MBALI UCHOCHEZI USIO WA KITAIFA.......mambo ya kututenganisha kamwe hayana nafasi bali yale ya msingi tu.....ETI MARANDO NDO ANAWATETEA WATUHUMIWA WA EPA...? HUKU YEYE ANADAI ANAPINGA UFISADI!!!!! SHAME ON THE WATETEZI WA MAFISADI...!
Habari za TBC zafanyiwa mageuzi makubwa baada ya malalamiko makubwa toka kwa wadau mbalimbali kama vyama vya siasa, jukwaa la wanahabari, wananchi na mitandao kama JF.
Ni matumaini hali hii ya mageuzi TBC itadumu ktk kipindi chote cha kampeni za uchaguzi 2010 na hata baada ya uchaguzi kwa kuwapatia wananchi haki yao ya msingi ya kupata habari.
Video clip hisani ya Tangibovu wa Youtube.

Naona wako katika kampaeni ya kuwapaka mafuta kwa mgongo wa CHUPA wapinzani ila jazba ya wananchi itulie then waendelee na kampeni zao zidi ya CCM