Habari za TBC zafanyiwa mageuzi makubwa baada ya malalamiko makubwa toka kwa wadau mbalimbali kama vyama vya siasa, jukwaa la wanahabari, wananchi na mitandao kama JF.
Ni matumaini hali hii ya mageuzi TBC itadumu ktk kipindi chote cha kampeni za uchaguzi 2010 na hata baada ya uchaguzi kwa kuwapatia wananchi haki yao ya msingi ya kupata habari.
Video clip hisani ya Tangibovu wa Youtube.
Last edited by a moderator: