Elections 2010 Hongera TBC 1 - Endeleeni hivyo hivyo

Elections 2010 Hongera TBC 1 - Endeleeni hivyo hivyo

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869

Habari za TBC zafanyiwa mageuzi makubwa baada ya malalamiko makubwa toka kwa wadau mbalimbali kama vyama vya siasa, jukwaa la wanahabari, wananchi na mitandao kama JF.

Ni matumaini hali hii ya mageuzi TBC itadumu ktk kipindi chote cha kampeni za uchaguzi 2010 na hata baada ya uchaguzi kwa kuwapatia wananchi haki yao ya msingi ya kupata habari.

Video clip hisani ya Tangibovu wa Youtube.
 
Last edited by a moderator:
hivi Makamba anajisikiliza akiongea ,mbona mbumbumbu sana huyu mzee.
 
TBC REMAIN THE ONLY RELIABLE NEWS GIANT IN THE COUNTRY.......! HURUSHA KILICHO BORA NA KU-TUPILIA MBALI UCHOCHEZI USIO WA KITAIFA.......mambo ya kututenganisha kamwe hayana nafasi bali yale ya msingi tu.....ETI MARANDO NDO ANAWATETEA WATUHUMIWA WA EPA...? HUKU YEYE ANADAI ANAPINGA UFISADI!!!!! SHAME ON THE WATETEZI WA MAFISADI...!
 
Sijaelewa wamebadika nn? Jana wametoa barua ya kuönyesha makubaliano waki imply chadema wameyakiuka na hawakuonyesha kampeni yoyote ya chadema
 
Sijaelewa wamebadika nn? Jana wametoa barua ya kuönyesha makubaliano waki imply chadema wameyakiuka na hawakuonyesha kampeni yoyote ya chadema
Absolutely - wanachofanya ni kung'ata sana na kupulizia kidogo.
Jana jioni nimeona wakiitumia JWTZ kumkampenia JK. What a farce!
 
TBC REMAIN THE ONLY RELIABLE NEWS GIANT IN THE COUNTRY.......! HURUSHA KILICHO BORA NA KU-TUPILIA MBALI UCHOCHEZI USIO WA KITAIFA.......mambo ya kututenganisha kamwe hayana nafasi bali yale ya msingi tu.....ETI MARANDO NDO ANAWATETEA WATUHUMIWA WA EPA...? HUKU YEYE ANADAI ANAPINGA UFISADI!!!!! SHAME ON THE WATETEZI WA MAFISADI...!

Shame on you!..Pole maana huwezi kupambanua mambo hata kidogo!...Marando by doing that ana'exercise profession yake, period!...Labda nikupe mfano, hii ni sawa na Daktari angegoma kumtibu mtuhumiwa wa EPA, kisa eti ni kumtibu FISADI!...HUH!...Mtuhumiwa ana rights zote za kimsingi za kujitetea na kutetewa!...Ruling ndio itaamua sasa wapi awekwe!....Soma vitu uvielewe broda!
 
....to add on top of PakaJimmy's response, Marandu anamtetea mtuhumiwa wa EPA kwa sababu yeye ni scape goat bali mapapa wamefichwa.
 
duh tibc!!! ninampango wa kuandamana na kurudisha king'amuzi chao kwani ni wizi mtupu
 
Habari za TBC zafanyiwa mageuzi makubwa baada ya malalamiko makubwa toka kwa wadau mbalimbali kama vyama vya siasa, jukwaa la wanahabari, wananchi na mitandao kama JF.

Ni matumaini hali hii ya mageuzi TBC itadumu ktk kipindi chote cha kampeni za uchaguzi 2010 na hata baada ya uchaguzi kwa kuwapatia wananchi haki yao ya msingi ya kupata habari.
Video clip hisani ya Tangibovu wa Youtube.

Changa la macho! Pole sana muanzisha thread
 
Last edited by a moderator:

Habari za TBC zafanyiwa mageuzi makubwa baada ya malalamiko makubwa toka kwa wadau mbalimbali kama vyama vya siasa, jukwaa la wanahabari, wananchi na mitandao kama JF.

Ni matumaini hali hii ya mageuzi TBC itadumu ktk kipindi chote cha kampeni za uchaguzi 2010 na hata baada ya uchaguzi kwa kuwapatia wananchi haki yao ya msingi ya kupata habari.

Video clip hisani ya Tangibovu wa Youtube.

ACHA UONGO HII CLIP YA ZAMANI(30/08/2010).,TBC jana na leo Asubuhi wanaonesha RANGI YA KIJANI TU

TBC WAMEKUWA WANYONYAJI

Last edited by a moderator:
Naona wako katika kampaeni ya kuwapaka mafuta kwa mgongo wa CHUPA wapinzani ila jazba ya wananchi itulie then waendelee na kampeni zao zidi ya CCM
 
Naona wako katika kampaeni ya kuwapaka mafuta kwa mgongo wa CHUPA wapinzani ila jazba ya wananchi itulie then waendelee na kampeni zao zidi ya CCM

Nimeangalia TV tatu usiku wa kuamkia leo, walionesha habari kidogo sana ya CUF huko kusini na TLP huko Arusha tena katika hali ya kuchanganya sana mtazamaji, lakini habari za rangi ya kijani zilitawala, kwani walianza na mgombea urais huko mbeya, Mgombea mwenza, Mke wa mbombea urais huko Dom, Mbunge aliyepita bila kupingwa huko Simanjiro, mgombea wa Morogoro pamoja na wa babati, nadhani inaonekana jinsi wanavyokipamba chama cha kijani.
:lol:
 
Tumewapigia sana kelele ndo maana wameamua kubadilika. Ngoja tuone kama hii itadumu hadi mwisho wa kampeni!
 
TBC wanyongaji wa demokrasia
bora polisi wamekuwa wastaarab siku hizi maana wameridhika na zile rushwa za buku mbilimbili.

ila hawa TBS wanaboa mpaka kunuka
 
Aisee! Kuna matatizo kwa upande wa CCM,unajua nimechunguza mabango yamejaa kijani kuliko vyama vingine,vyomba vya habari vimeipamba zaidi kijani kuliko vyama vingine,yaani kuna matatizo ndani ya CCM kwa kweli na ndo maana wameamua kutumia ngumu katika kampeni. Moyoni mwangu sijaguzwa na mwelekeo wa kampeni kwa kweli.
 
TBC ni chombo cha umma,kinaendeshwa kwa kodi za wananchi kuwapasha habari.TBC inapokiuka ethics zake mwenyewe na kufanya ubaguzi wa makusudi kupasha habari,ni kinyume cha kanuni za taaluma hiyo.Hakuna haja ya kuwapongeza eti wamejirekebisha,wameajiliwa kwa kutoa huduma hiyo kwetu wananchi.Nguvu ya Tido ni mwanachi anayekatwa kodi kuiendesha TBC.Ukimdharau au kumpuuza mwanachi unajidhalilisha mwenywe.Majuto mjukuu,Dr Slaa akiwa raisi utarudi BBC?
 
Back
Top Bottom