Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Wanabodi,
Naomba kuanza uzi huu kwa declaration of interest. Mimi ni mdau mkubwa sana wa TCRA, nawakubali sana, na hadi vipindi vyao nafanya
Ila TCRA ilichomfanyia Humphrey Polepole na shule yake ya uongozi sio sawa, sio haki, ni kumuonea na TCRA kufanya maamuzi kwa double standards!
Naikubali sana TCRA haswa uongozi wake mpya wa sasa kufanya mambo kwa ushirikishwaji wa wadau wa utangazaji na online contents, nami nilishiriki moja ya vikao hivyo na nikatoa maoni yangu, sheria yetu ya utangazaji ina mapungufu, EPOCA na kanuni zake zina mapungufu, kunapotokea maamuzi yanafifisha freedom of information, freedom of expression na freedom of the press, baadhi yetu tuliomo kwenye hii fani, tutumie fursa hizi kuonyeshea matundu, madhaifu na mapungufu.
Naomba kukiri huu uzi nimekuwa inspired kuaandika baada ya kusoma maoni ya mwana jf huyu akiipongeza TCRA kumfungia Polepole na shule yake ya uongozi.
Duniani kuna professionals mamilioni, bilioni au hata trilioni!, mfano mzuri ni angalia idadi ya waalimu, unapeleka mtoto shule ili kumfuata mwalimu na anafundishia darasani ili kuweka wanafunzi wengi pamoja. Huku kwetu kutokana na umasikini wetu ni lazima umpeleke mtoto shule. Kwa nchi za wenzetu, unaweza kuajiri Mwalimu akaja kwako kukufundishia mwanao. Hata baadhi ya vyuo vikuu, vikiwepo Oxford na Cambridge, sio lazima kila anayejiunga adahiliwe, wengine ni vilaza mpaka basi, akihudhuria lecture anatoka kapa, anafundishwa na ma profesa kwa spoon fed kupitia tutorials hadi anahitimu.
Ujio wa social media umefungua milango kwa mtu yoyote mwenye uwezo wowote, kufungua online class kufundisha chochote, kwa watu wowote bila kuvunja sheria, hivyo online classes kuzilazimisha kufuata misingi ya utoaji habari as news contents, sio haki!, huku sio kuwatendea haki Watanzania!.
Sio kila utoaji elimu mtandaoni ni utoaji habari!. Naunga mkono TCRA, blogs za uhabarishaji ziendeshwe na professional journalists lakini watu wenye professionals nyingine zote nao wawe huru kuendesha madarasa yao ya utoaji elimu mtandaoni kwa uhuru bila kila kitu mtandaoni kugeuzwa ni habari. Madaktari watoe elimu ya tiba, waalimu wawafundishe wanafunzi wao, waganga wa alternative medicine watoe elimu zao, wanasiasa nao waendeshe madarasa yao ya siasa kwa uhuru.
Kitu cha pili cha ajabu sana kuhusu hii TCRA yetu ni hii double standards yake.
Niliwahi kuzungumzia hii double standard ya TCRA enzi zile, kubana mitandao mingine huku ikigwaya mitandao mingine!Akizungumza katika kipindi cha Jicho letu ndani ya habari mwandishi nguli Pascal Mayalla
Yule kichaa aliyekuwa ana kashifu watu hadi kuwaponza Membe, Makamba, Kinana na January na Nape, kwa kukashifu na kutukana watu kupitia mtandao wake, mbona hakudhibitiwa?. Mbona hakutakiwa ku balance tuhuma zake na anao watuhumu?, why only Polepole?!.
Hongera kwa TCRA kusisitiza professionalism lakini TCRA iwatendee haki Watanzania, kilichofanywa kwa Polepole ni uonevu na sii haki. Sio kila utoaji elimu mtandaoni ni utoaji habari!.
Paskali

Mkuu Pythagoras , japo naunga mkono hoja ya TCRA kutumia professionalism kwenye vyombo vya utangazaji, na pia siungi mkono, kila Tom, Dick and Harry kujifanya ni watangazaji wa online TV, wengine ni wabwabwajaji tuu wenye ill motives behind, lakini mimi ni mtetezi wa haki!. Alichofanyiwa Polepole na TCRA kufungiwa hadi aajiri professional journalist, sio haki, na kulazimisha kila utoaji elimu mtandaoni kufuata misingi ya uandishi wa habari sio haki!.TCRA ni wakupongezwa. Tukumbuke kikinuka hakuna atayebaki salama.
Hongera TCRA kwa kazi nzuri. Ujumbe umefika.
Umewakata viromo romo.