Hongera TCRA kusisitiza Professionalism kwenye habari! Acheni double standards, acheni uonevu. Tendeni haki kwa Watanzania!

TCRA wametumia sheria mbovu zilizopendekezwa na wahuni akiwamo polepole ili kuziba mkdomo watanzania. Acha zimtafune na yeye
 
Ukweli ni kwamba huyu Raisi ni unpopular sana kwa Watanzania, hivyo wanatumia nguvu kubwa sana na kufanya kila wawezalo ndani na nje kumlinda, hata wanawake wenyewe ambao mwanzoni alikuwa anataka kuwatumia, ni unpopular pia.
Yaani mama Samia hata yeye anajua hakubariki hata kidogo ila kuna kikundi kinampa matumaini hewa kuwa anakubarika! Tukutane 2025!
 
Ukweli ni kwamba huyu Raisi ni unpopular sana kwa Watanzania, hivyo wanatumia nguvu kubwa sana na kufanya kila wawezalo ndani na nje kumlinda, hata wanawake wenyewe ambao mwanzoni alikuwa anataka kuwatumia, ni unpopular pia.
Kuiba kura kama kawaida yao ndiyo option aliyokuwa nayo. Kuwategemea wanawake wenzake ili wampigie asahau. Hawamkubali .
 
Well said mkuu,

Hivi mimi nikitaka kufungua online class yangu ya kufundisha vijana Artificial Intelligence inabidi niajiri mwanahabari pia??

TCRA wanashindwa kutofautisha kati ya utoaji wa habari mtandaoni na ufundishaji mtandaoni. Wakiendelea na upuuzi huu nchi itaendelea kubaki nyuma ktk kilindi hichi cha Fourth Industrial Revolution.
 
Yule kichaa alilindwa na Polepole mwenyewe. Lkn wahanga wa ukichaa wake wakarekodiwa sauti zao na kudhaliliahwa.
 
Paskali, unaweza kuwa mwanahabari mzuri, lakini unanishangaza kwa kukosa kuona realpolitik behind actions za TCRA.

TCRA ni fimbo ya serikali/CCM kuwatia adabu wale inaowaona wakorofi kisiasa.
Siasa haina proffessionalism, you scratch my back, I scratch your back!

Chombo cha TCRA kipo pale kwa maslahi ya the ruling elites.
 
Kwa maamuzi waliyoamua juu ya shule ya uongozi ikilazimika online youtube tv zote zipitiwe na maamuzi hayo. Nyingi zitafungwa.
 
Mkuu, hizo ni chokochoko shauri yako uliambiwa Mayalla kwa kizilankende maana yake ni njaa, usitake kujua kwa wenzetu wa Visiwani maana yake ni nini🐒
 
Hawa TCRAwakati mwingine wanafanya kazi kwa kukurupuka na kwa mihemko kama panya anavyokurupuka kutoka kwenye kibuyu chenye nafaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…