Hongera TRA, hongera Rais Samia

Hongera TRA, hongera Rais Samia

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Kuna mambo tunatakiwa kupongeza kama tunavyokosoa.

Kiukweli kwenye swala la ukusanyaji kodi toka Rais Samia aingingie Madarakani yuko vizuri!

Kuna watu wanaleta propaganda kwamba bandarini tunaibiwa Sana lakini mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Mwezi huu wa 12 kavunja record yake ya mwaka jana na amefanikiwa kwa mwezi mmoja tu 12 kukusanya 2.7 trilioni.

Ninachopenda kwa Sasa kila mtu analipa kodi sitahiki uwe CCM uwe mpinzani.

Changamoto zipo ila sitaki kuwa na roho mbaya ila mimi kama mmoja wa walipa kodi nampongeza Rais wetu kwa kufanikiwa kwa angalau 80% pale TRA.

Hongera Rais Samia. Hongera TRA penye ukweli usemwe!!
 
Ushawahi kutana na mtu aliyelewa kwa pombe za kukopa anavyojidai?
 
Unaweza kuambiwa wamekusanya 2.7Trilion lakini wametumia 1Trilion kama gharama za kukusanya hiyo 2.7Trilioni.

Kusema tu wamekusanya fedha kadhaa haisaidii
 
Back
Top Bottom