Hongera TRL kwa Mabehewa Mapya. SGR ni Reli Mpya ya Kisasa; Je, Mabehewa Haya ni Mapya ya Kisasa? Hakuna Ubaya Kutumia Mitumba, Ila Tuambiwe Ukweli!

Na kuvunjwa Kwa mkataba bila kuuona unasomekaje, inatupa wananchi Imani kuwa mkataba wa awali ulitaka mabehewa mapya na ya kisasa.

Si haya tuyaonayo, yaani reli mpya standard afu mabehewa mtumba, siamini.
 
Jamaa huwa wanakaa wanabuni namna nzuri ya kuiba mali za umma bila kusumbuliwa, wanaenda kumsifia huyu bibi biashara inaisha na yeye ni mtu wa kupenda kuambiwa badala ya kuona na kufuatilia
Wamegundua madhaifu yake. Huyu Madam ni aina ya wale viongozi wa kuletewa tu taarifa na kuzipokea pasipo kuhoji na kufwatilia mambo kwa karibu.
 
Bashiru gani, hiyo takataka ya sukuma gang? Changia hoja kama ilivyoeletwa acha kututajia hizo takataka.
Taktaka hapo ni wewe!

Mimi sijamuongelea Bashiru kama Bashiru ila nmeongelea hoja yake!

Mbona mamako yuko ccm? Je nae ni takataka.?
 
Kwa sisi baadhi yenu, tulioishi nchi za wenzetu, tumepanda treni hizi za kisasa za kasi zinazoendeshwa kwa umeme, bulet trains, ambazo zinakwenda hadi kasi ya speed 160kmh kwa saa!,

Paskali.
Mkuu Paskali, huzitendei haki bullet trains kusema zinaenda spidi ya 160km/k! Hizo treni zina uwezo wa kwenda hadi 500km/hr, ila operation speed ni kati ya 290 - 320km/hr. Ukisema 160km/hr kwa bullet trains uko mbali mno.

Angalia kwamba hizi treni za Germany ICE kwa mfano, zinaenda hadi 300k/hr operation speed japo sio bullet trains.
 
Hahaha. Si rahisi yale kurudi maana yalikuwa designed for meter gauge. Kuyabadili yaweze kutembea kwenye standard gauge si kazi ndogo.

Kama ni chakavu yatakuwa yalitumika kwenye standard gauge either ya Korea au mahali pengine.
 
Yeah, 😂,huwezi ukawa na treni ya speed ya km 360 kwa saa, halafu behewa liwe na muundo kama yale yalishuka juzi,, Haiwezmake
I agree with you. Ila unaweza kuwa na design ya mabehewa mazuri kwa muonekano zaidi ya hayo wanayotuletea. Mfano Gautrain ya RSA ambayo sidhani kama ina speed ya SGR yetu.... Inao muonekano wa kuvuta. Hayo mabehewa sioni tofauti na yale ya zamani ya TRC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…