Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kuvunjwa Kwa mkataba bila kuuona unasomekaje, inatupa wananchi Imani kuwa mkataba wa awali ulitaka mabehewa mapya na ya kisasa.Hoja nzito sana hizi ndugu Pascal Mayala.
Mimi nauliza swali:
Ikiwa ndege zilinunuliwa mpya kabisa (ingawa sikubaliani na manunuzi ya ndege) na ndege zina bei kubwa sana kushinda mabehewa ya treni, nini kimewashinda kununua mabehewa mapya??
Kwa uozo huu, Je, hii na mengine hayatoshi kutuonesha kuwa Madam president is incompetent?
TumekwishaJamaa huwa wanakaa wanabuni namna nzuri ya kuiba mali za umma bila kusumbuliwa, wanaenda kumsifia huyu bibi biashara inaisha na yeye ni mtu wa kupenda kuambiwa badala ya kuona na kufuatilia
Wamegundua madhaifu yake. Huyu Madam ni aina ya wale viongozi wa kuletewa tu taarifa na kuzipokea pasipo kuhoji na kufwatilia mambo kwa karibu.Jamaa huwa wanakaa wanabuni namna nzuri ya kuiba mali za umma bila kusumbuliwa, wanaenda kumsifia huyu bibi biashara inaisha na yeye ni mtu wa kupenda kuambiwa badala ya kuona na kufuatilia
Mwishowe tutamuelewa tu Bashiru alikuwa ana maanisha nini!
Taktaka hapo ni wewe!Bashiru gani, hiyo takataka ya sukuma gang? Changia hoja kama ilivyoeletwa acha kututajia hizo takataka.
Mkuu Paskali, huzitendei haki bullet trains kusema zinaenda spidi ya 160km/k! Hizo treni zina uwezo wa kwenda hadi 500km/hr, ila operation speed ni kati ya 290 - 320km/hr. Ukisema 160km/hr kwa bullet trains uko mbali mno.Kwa sisi baadhi yenu, tulioishi nchi za wenzetu, tumepanda treni hizi za kisasa za kasi zinazoendeshwa kwa umeme, bulet trains, ambazo zinakwenda hadi kasi ya speed 160kmh kwa saa!,
Paskali.
Taktaka hapo ni wewe!
Mimi sijamuongelea Bashiru kama Bashiru ila nmeongelea hoja yake!
Mbona mamako yuko ccm? Je nae ni takataka.?
Cc Paskal MayallaKwani mkuu Mayala huna mpango tea wa kugombea ubunge?!!!!! Huogopo hii thread itatumika kukuondolea sifa?!!!
Hahaha. Si rahisi yale kurudi maana yalikuwa designed for meter gauge. Kuyabadili yaweze kutembea kwenye standard gauge si kazi ndogo.Nakumbuka miaka ya nyuma kidogo baada ya kampuni ya wahindi kupewa TRC kuiendesha mara waliomba mabehewa makuukuu ya TRC wayanunue kama chuma chakavu. Suala hili lilizua mjadala wa kitaifa, ila likazimwa kiaina.
Sasa hofu yangu isije kuwa ni mabehewa yaleyale yaliyosukumwa kama chuma chakavu tumerudishiwa. Daaaa!
Ni TRC kwa Sasa. Ilikuwa TRL ilipobinafsishwa na Wahindi. Baada ya mkataba wa serikali na Wahindi kuvunjwa ikarejeshwa kuwa TRC.Asante kwa maelezo
Hivi Ni TRC au TRL?
Haha kavu live. Wakulungwa kila post wanaona kama nafasi ya kuchomeka pambio. Limbwata alilowalisha mwamba lilikuwa sio la nchi hiiBashiru gani, hiyo takataka ya sukuma gang? Changia hoja kama ilivyoeletwa acha kututajia hizo takataka.
Wee ngese kweliMkurugenzi msukuma utarajie tupate vitu vizuri kweli
Haha kavu live. Wakulungwa kila post wanaona kama nafasi ya kuchomeka pambio. Limbwata alilowalisha mwamba lilikuwa sio la nchi hii
I agree with you. Ila unaweza kuwa na design ya mabehewa mazuri kwa muonekano zaidi ya hayo wanayotuletea. Mfano Gautrain ya RSA ambayo sidhani kama ina speed ya SGR yetu.... Inao muonekano wa kuvuta. Hayo mabehewa sioni tofauti na yale ya zamani ya TRC.Yeah, 😂,huwezi ukawa na treni ya speed ya km 360 kwa saa, halafu behewa liwe na muundo kama yale yalishuka juzi,, Haiwezmake
Hatari snTumekwisha