Ni dhahiri kwa sasa Msando atakuwa wakili ghali zaidi Tanzania!
msando anastahili pongezi, amethibitisha lisu ni kanjanja asie na umakini.
Hivi cha ajabu alichokifanya Msando ni kipi hasa?
Semeni wakili wa cccccm na judge wa ccccm, hmna lolote!Katika kesi hii ya ZITTO zidi ya CHADEMA, mtu aliyenufaika zaidi ni Wakili Albert Msando!
- Hakutishwa na makelele na 'umaarufu' wa Lissu na wenzake
- Mchagga ( sijui mkaskazini) lakini amemtetea mteja wake bila kupepesa macho!
- Hakutetereka muda wote wa kesi!
- Kasimamia anachokiamini muda wote!
Ni dhahiri kwa sasa Msando atakuwa wakili ghali zaidi Tanzania!
Tafadhali msije mchacha wangwe!
Katika kesi hii ya ZITTO zidi ya CHADEMA, mtu aliyenufaika zaidi ni Wakili Albert Msando!
- Hakutishwa na makelele na 'umaarufu' wa Lissu na wenzake
- Mchagga ( sijui mkaskazini) lakini amemtetea mteja wake bila kupepesa macho!
- Hakutetereka muda wote wa kesi!
- Kasimamia anachokiamini muda wote!
Ni dhahiri kwa sasa Msando atakuwa wakili ghali zaidi Tanzania!
Tafadhali msije mchacha wangwe!
Ukweli ndo huo Lisu ethics kazisahau amebaki na porojo za Siasa we'll done Learned Bro Albert Msando View attachment 130692
''Lisu mwongo, mnafiki an mpiga kelele. Mwanasheria wao haeleweki hata wao hawamwelewi lakini wanamwamini'' Jk
Leo ndo kaonekana kilaza ''Lisu don't shout you can't go anywhere but argue" AG. Lisu kwisha
Kosa la Msando ni lipi hasa mpaka siku zake zihesabike?Wakuu baada ya zzk kushinda kesi yake leo kupitia kwa wakili wake kijana albert msando aliyemshinda wakili maarufu tundu lissu nimegundua kumbe chadema ina hazina kubwa ya wanasheria, huyu wakili alikuwa hajulikan kabisa lakin leo kadhihirisha uwezo wake kwa wale waliokuwa wanadhan kuwa tundu lissu hashindwi kesi ila si ajabu kwa chadema ukasikia wanamshughulikia kwa kosa la kukidharirisha chama mahakamani.
My take: siku za albert msando zinahesabika chadema, kama anataka kuendelea na siasa labda kwa chama kingine na si chadema