Hongera wakili kijana mwenzetu Albert Msando

Hongera wakili kijana mwenzetu Albert Msando

Jenifa

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
605
Reaction score
305
Zitto noooooooooooooooooooooooooooooooommmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmaaaaaaaaaa!!!!!!!

Tunakushukuru kijana mwenzetu mpenda haki na mtetezi albert msando. umewabwaga hao mawakili maarufu ambao wanachanganya sheria according to jk.

maliza shughuli ndani njoo nje tukubebe mpaka kokote uendako.

Msando noooooooooooooooooooooooooooooooooooommmmmmmmmmmmmmmmmmmaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!

kweli leo nimeamini maneno ya jk kwamba lissu anachanganya sheria. hajui hata jambo dogo kwamba wakili hawezi pia kuwa shahidi.
 
Katika kesi hii ya ZITTO zidi ya CHADEMA, mtu aliyenufaika zaidi ni Wakili Albert Msando!
  1. Hakutishwa na makelele na 'umaarufu' wa Lissu na wenzake
  2. Mchagga ( sijui mkaskazini) lakini amemtetea mteja wake bila kupepesa macho!
  3. Hakutetereka muda wote wa kesi!
  4. Kasimamia anachokiamini muda wote!

Ni dhahiri kwa sasa Msando atakuwa wakili ghali zaidi Tanzania!

Tafadhali msije mchacha wangwe!
 
Ni dhahiri kwa sasa Msando atakuwa wakili ghali zaidi Tanzania!

Hahahaaaa daaah!

Yaani akili za baadhi ya watu sijui zikoje tu.

Hiki kishauri cha Zitto ndo kimfanye Msando awe wakili ghali zaidi Tanzania?

You can't be serious.
 
Kijana yuko ghali muda mrefu kwa hii itampandisha chart zaidi na kumteremsha lissu kwa kasi wengi si mnafahamu watanzania wanavyopelekwa na hamasa ? Usaliti wa zzk ulikuzwa zaidi na hamasa ya viongozi wa juu wa cdm ambao ni mahiri sana
 
msando anastahili pongezi, amethibitisha lisu ni kanjanja asie na umakini.
 
  • Thanks
Reactions: FKM
Ukweli ndo huo Lisu ethics kazisahau amebaki na porojo za Siasa we'll done Learned Bro Albert Msando ImageUploadedByJamiiForums1389109166.142046.jpg
 
''Lisu mwongo, mnafiki an mpiga kelele. Mwanasheria wao haeleweki hata wao hawamwelewi lakini wanamwamini'' Jk
Leo ndo kaonekana kilaza ''Lisu don't shout you can't go anywhere but argue" AG. Lisu kwisha
 
Katika kesi hii ya ZITTO zidi ya CHADEMA, mtu aliyenufaika zaidi ni Wakili Albert Msando!
  1. Hakutishwa na makelele na 'umaarufu' wa Lissu na wenzake
  2. Mchagga ( sijui mkaskazini) lakini amemtetea mteja wake bila kupepesa macho!
  3. Hakutetereka muda wote wa kesi!
  4. Kasimamia anachokiamini muda wote!

Ni dhahiri kwa sasa Msando atakuwa wakili ghali zaidi Tanzania!

Tafadhali msije mchacha wangwe!
Semeni wakili wa cccccm na judge wa ccccm, hmna lolote!
 
Kuna nguvu ya ccm kwenye hii kesi na ndo maana ilikuwa inaahirishwa bila sababu za msingi!
 
Katika kesi hii ya ZITTO zidi ya CHADEMA, mtu aliyenufaika zaidi ni Wakili Albert Msando!
  1. Hakutishwa na makelele na 'umaarufu' wa Lissu na wenzake
  2. Mchagga ( sijui mkaskazini) lakini amemtetea mteja wake bila kupepesa macho!
  3. Hakutetereka muda wote wa kesi!
  4. Kasimamia anachokiamini muda wote!

Ni dhahiri kwa sasa Msando atakuwa wakili ghali zaidi Tanzania!

Tafadhali msije mchacha wangwe!

Hakuna kitu special hapo toka kwa Msando, kesi imeamuliwa zaidi on basis of techicalities(mapungufu ya counter-affidavit) na wala si arguments za shauri lenyewe.

Binafsi nilikuwa nasubiria kwa hamu precedence itakayowekwa kutokana na maamuzi ya kusikiliza arguments za pande zote ila sivyo ilivyotokea.

Nimeona leo habari kuhusu hii case hapa Zitto aibuka kidedea mahakamani - Kitaifa - mwananchi.co.tz nikaona haya maneno;-

''Jaji Utamwa alikubaliana na hoja za Wakili Msando kuwa iwapo Mahakama haitaingilia kati na kutoa zuio hilo, mtoa maombi ataathirika zaidi kuliko wajibu maombi.

Akijibu hoja ya Wakili Lissu aliyepinga hoja ya mtoa maombi kuathirika pamoja na wananchi wa jimbo lake kwa kukosa uwakilishi bungeni, kuwa hata akipoteza ubunge kwa kuvuliwa uanachama utaitishwa uchaguzi mdogo, Jaji Utamwa alisema uchaguzi mdogo huwa unachukua mchakato mrefu.''

Inshort ni kuwa mahakama imesema mchakato wa uchaguzi mdogo huchukua muda mrefu hivyo kupelekea wananchi kukosa uwakilishi. Tafakuri yangu juu ya haya imenipeleka katika maswali yafuatayo pasipo majibu;-

  1. Je mahakama zetu huko nyuma zilipotoka katika maamuzi yake katika kesi kadhaa zilizowavua ubunge wabunge na kupelekea/kutaka kupelekea hayo aliyoyasema mheshimiwa jaji eg. Kifu Ghulam Hussein, Ramadhan Kihiyo na Godbless Lema?
  2. Je sasa itakuwa ni haki kwa mbunge yeyote kubaki na hadhi ya uwakilishi wake hata baada ya kufukuzwa uanachama wa chama chake kuepuka haya aliyoyasema jaji? Hii haitakuwa uncostitutional?
  3. Je sasa itakuwa ni haki kwa mwanachama wa chama cha siasa ambaye pia ni mbunge ama diwani kubaki na hadhi ya uwakilishi hata atakapokihama chama kilichompatia tiketi ya kuwania huo uwakilishi kuepusha haya yaliyondani ya huu uamuzi?
  4. Je kwa sasa uamuzi kama uliowahi kuchukuliwa na Rostam Azizi utakuwa ni kinyume cha sheria maana unapelekea katika katazo la kukosesha wananchi uwakilishi kwa mujibu wa uamuzi huu?

Unlesss katika detailed ruling ya jaji amelifafanua hili kwa mapana kinyumechake nauona mkanganyiko wa kisheria siku za usoni ukilinganisha na matakwa ya kikatiba kwa sasa, labda tunaweza kuhitaji revision ya ruling yenyewe.
 
Ndugu zangu najua wengi ni mashabiki tu wa siasa hamjui sheria wala hamjui lissu alikuwa anatetea nini. Someni title yangu inayosema zitto na mashitaka yake ya kibwenyenye ya kupoteza muda wa mahakama ambako nimeweka ufafanuzi wa shauri lilivyo.
 
''Lisu mwongo, mnafiki an mpiga kelele. Mwanasheria wao haeleweki hata wao hawamwelewi lakini wanamwamini'' Jk
Leo ndo kaonekana kilaza ''Lisu don't shout you can't go anywhere but argue" AG. Lisu kwisha

zitooooo bigup Bro zito Leo ndio siku ya kwanza hawa wezi na majangili wa binadamu, wazandiki wakubwa na waongo wakubwa wamedhalilishwa live.
 
Wakuu baada ya zzk kushinda kesi yake leo kupitia kwa wakili wake kijana albert msando aliyemshinda wakili maarufu tundu lissu nimegundua kumbe chadema ina hazina kubwa ya wanasheria, huyu wakili alikuwa hajulikan kabisa lakin leo kadhihirisha uwezo wake kwa wale waliokuwa wanadhan kuwa tundu lissu hashindwi kesi ila si ajabu kwa chadema ukasikia wanamshughulikia kwa kosa la kukidharirisha chama mahakamani.
My take: siku za albert msando zinahesabika chadema, kama anataka kuendelea na siasa labda kwa chama kingine na si chadema
 
Kosa la Msando ni lipi hasa mpaka siku zake zihesabike?
 
Back
Top Bottom