Hongera Wananchi kutengeneza barabara za mitaa Mwanzi Manyoni

Hongera Wananchi kutengeneza barabara za mitaa Mwanzi Manyoni

Buju

Senior Member
Joined
Aug 9, 2013
Posts
162
Reaction score
53
Wananchi wa kitongoji ya Mwanzi mtaa wa mlimani leo wamejitokeza kwa wingi kutengeneza barabara ya mtaa ili kuweza kuondoa tatizo ya ukosefu wa barabara inayosababisha wakina Mama wajawazito kushindwa kupelekwa hospitalini.

Rai yangu serikali iwashike mkono Wananchi wao kwa kuwachongea barabara kwa kutumia bulldoza ili kuwasaidia kuikamilisha haraka kuondoa changamoto hiyo.
 
Back
Top Bottom