Wananchi wa kitongoji ya Mwanzi mtaa wa mlimani leo wamejitokeza kwa wingi kutengeneza barabara ya mtaa ili kuweza kuondoa tatizo ya ukosefu wa barabara inayosababisha wakina Mama wajawazito kushindwa kupelekwa hospitalini.
Your browser is not able to display this video.
Rai yangu serikali iwashike mkono Wananchi wao kwa kuwachongea barabara kwa kutumia bulldoza ili kuwasaidia kuikamilisha haraka kuondoa changamoto hiyo.