Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Mchungaji Gamanywa namkufamu miaka mingi sana..acha kujiingiza kwenye hizi siasa.. kuwa neutral...utaumia...Radio WAPO ya kanisa imeamua kuifanyia kampeni waziwazi CCM, hii ni radio ya kanisa la Pentecost. Radio hii imeamua kuvibagua vyama vinginevyo na kutumia muda kuvikejeri vyama hivyo.
Namalizia kwa kuwapa hongera.
Hiyo radio ulimchangia kuianzisha hadi umpangie cha kutangaza? Acha kutishia nyau mjinga weweMchungaji Gamanywa namkufamu miaka mingi sana..acha kujiingiza kwenye hizi siasa.. kuwa neutral...utaumia...
Naungana nawe...nawapa hongeraRadio WAPO ya kanisa imeamua kuifanyia kampeni waziwazi CCM, hii ni radio ya kanisa la Pentecost. Radio hii imeamua kuvibagua vyama vinginevyo na kutumia muda kuvikejeri vyama hivyo.
Namalizia kwa kuwapa hongera.
Sasa utashangaaje ilihali kuna askofu anawania jimbo huko nawe?Radio WAPO ya kanisa imeamua kuifanyia kampeni waziwazi CCM, hii ni radio ya kanisa la Pentecost. Radio hii imeamua kuvibagua vyama vinginevyo na kutumia muda kuvikejeri vyama hivyo.
Namalizia kwa kuwapa hongera.
Wapo radio inamilikiwa na Rostam Aziz wa CCM!Radio WAPO ya kanisa imeamua kuifanyia kampeni waziwazi CCM, hii ni radio ya kanisa la Pentecost. Radio hii imeamua kuvibagua vyama vinginevyo na kutumia muda kuvikejeri vyama hivyo.
Namalizia kwa kuwapa hongera.
Hii radio Ni Yule muhuni anaitwa Gamanywa, wahuni waleRadio WAPO ya kanisa imeamua kuifanyia kampeni waziwazi CCM, hii ni radio ya kanisa la Pentecost. Radio hii imeamua kuvibagua vyama vinginevyo na kutumia muda kuvikejeri vyama hivyo.
Namalizia kwa kuwapa hongera.
Tulia WeweWapo radio inamilikiwa na Rostam Aziz wa CCM!
NdiyoHii radio Ni Yule muhuni anaitwa Gamanywa, wahuni wale
Duuu!!!Hiyo radio ulimchangia kuianzisha hadi umpangie cha kutangaza? Acha kutishia nyau mjinga wewe
Pemba hakuna mkoa unaitwa Pemba. Mwinyi muongo.Itakuhitaji wendawazimu kutokuunga mkono sera safi za Dr Mwinyi hongereni wapo radio..... YAJAYO NI NEEMA TUPU
View attachment 1579701
Huu ushauri unamhusu Bagonza, Mwamakula na Mwingira pia?Mchungaji Gamanywa namkufamu miaka mingi sana..acha kujiingiza kwenye hizi siasa.. kuwa neutral...utaumia...
Ni wahuni kama alivyo Bagonza na Mwingira?Hii radio Ni Yule muhuni anaitwa Gamanywa, wahuni wale