Uchaguzi 2020 Hongera Wapo Radio kwa kujitosa kuifanyia kampeni CCM waziwazi na kuvibagua vyama vingine

Uchaguzi 2020 Hongera Wapo Radio kwa kujitosa kuifanyia kampeni CCM waziwazi na kuvibagua vyama vingine

Tujikumbushe katikati ya mwaka huu Polepole na Gamanywa walizindua kipindi Wapo Radio cha kuifanyia kampeni CCM, baada ya mimi kuandika humu uovu huo kipindi hicho hakikuendelea.
 
Hiyo radio wala haijulikani ungekausha tu maana umeipa kiki hapa JF.
 
Back
Top Bottom