Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
- Thread starter
- #41
Tujikumbushe katikati ya mwaka huu Polepole na Gamanywa walizindua kipindi Wapo Radio cha kuifanyia kampeni CCM, baada ya mimi kuandika humu uovu huo kipindi hicho hakikuendelea.