Uchaguzi 2020 Hongera Wapo Radio kwa kujitosa kuifanyia kampeni CCM waziwazi na kuvibagua vyama vingine

Radio WAPO ya kanisa imeamua kuifanyia kampeni waziwazi CCM, hii ni radio ya kanisa la Pentecost. Radio hii imeamua kuvibagua vyama vinginevyo na kutumia muda kuvikejeri vyama hivyo.
Namalizia kwa kuwapa hongera.
Mchungaji Gamanywa namkufamu miaka mingi sana..acha kujiingiza kwenye hizi siasa.. kuwa neutral...utaumia...
 
Radio WAPO ya kanisa imeamua kuifanyia kampeni waziwazi CCM, hii ni radio ya kanisa la Pentecost. Radio hii imeamua kuvibagua vyama vinginevyo na kutumia muda kuvikejeri vyama hivyo.

Namalizia kwa kuwapa hongera.
Naungana nawe...nawapa hongera
 
Itakuhitaji wendawazimu kutokuunga mkono sera safi za Dr Mwinyi hongereni wapo radio..... YAJAYO NI NEEMA TUPU
1600969050406.png
 
Radio WAPO ya kanisa imeamua kuifanyia kampeni waziwazi CCM, hii ni radio ya kanisa la Pentecost. Radio hii imeamua kuvibagua vyama vinginevyo na kutumia muda kuvikejeri vyama hivyo.

Namalizia kwa kuwapa hongera.
Wapo radio inamilikiwa na Rostam Aziz wa CCM!
 
Radio WAPO ya kanisa imeamua kuifanyia kampeni waziwazi CCM, hii ni radio ya kanisa la Pentecost. Radio hii imeamua kuvibagua vyama vinginevyo na kutumia muda kuvikejeri vyama hivyo.

Namalizia kwa kuwapa hongera.
Hii radio Ni Yule muhuni anaitwa Gamanywa, wahuni wale
 
huyo Askofu wa hilo kanisan siku hizi mahubiri yake ni yakuwatisha waumini eti watii mamlaka kwa kuchagua CCM lasivyo hawataiona pepo nilisikiliza juzi kwenye hyo WAPO radio
 
Back
Top Bottom