Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 21,741 Reaction score 26,735 Sep 25, 2020 Thread starter #41 Tujikumbushe katikati ya mwaka huu Polepole na Gamanywa walizindua kipindi Wapo Radio cha kuifanyia kampeni CCM, baada ya mimi kuandika humu uovu huo kipindi hicho hakikuendelea.
Tujikumbushe katikati ya mwaka huu Polepole na Gamanywa walizindua kipindi Wapo Radio cha kuifanyia kampeni CCM, baada ya mimi kuandika humu uovu huo kipindi hicho hakikuendelea.
Squidward JF-Expert Member Joined Jul 21, 2014 Posts 7,828 Reaction score 9,546 Sep 25, 2020 #42 Hiyo radio wala haijulikani ungekausha tu maana umeipa kiki hapa JF.