Hongera waziri Katambi wimbi la watukanaji kwenye social media limeanza kupungua

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Mwenendo wa wanaotukana badala ya kujenga hoja kwenye mijadala katika mitandao ya kijamii limeanza kupungua.Naamini waliokuwa wanafanya hivyo wengi wao hawakuwa Raia wa Tanzania na walikuwa na nia ya kuambukiza tabia chafu ya kutokujali kwa watanzania wenye ustaarabu na heshima.
 
Nakutukana sasa funaku mkubwa wee jingalao.
 
Kwa hiyo tufurahi kwa mahabusu/jela zetu kujaa watukanaji mitandaoni huku wezi wa mali za umma wakila viyoyozi uraiani!!??
 
 

Attachments

  • 1000020485.jpg
    12.1 KB · Views: 8
Ukifuga mtukanaji ndio unazalisha fisadi
Kuna hela ya TASAF ya kujenga zahanati "imepigwa 32 Milioni" na kusababisha zahanati kutokamilila huko Mkuranga, halafu wahusika wapo na wewe unashangilia hatua kuchukuliwa kwa wanaokuita "jingalao" huko mitandaoni badala ya hawa wanaosababisha mama mjamzito apoteze uhai huko Kisegese kwa kukosa huduma!!???

Hivi kweli wewe ni binadamu!!??
Utu uko wapi?
 
Matusi yanatokana na jinsi utakavyokuja ndivyo utajibiwa
 
matusi hayaondoi ufisadi
 
Usikute wewe mwenyewe ndiyo Kataambi umekuja kujipakulia minyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…