@
Sky Eclat sidhani kama unahitaji kujua idadi ya wagonjwa wa Malaria au STD, same goes to COVID19. Kuhusu oxygen ni sawa, maana huo ni mkakati.
Nimeona wewe ni hopeless,unaleta masihara kwenye maisha ya watu,huu uzi hauna maana tenaSky Eclat usipende kukariri, ni upumbavu kutangaza maambukizi ya COVID19 wakati kuna magonjwa mengine mengi huwa hatutangazi.
Shit & Rubbish.
Hao ni mawaziri wa nyumbani kwako labda! Na unawasikiliza peke yako!! Usijidanganye kuwa wanasikilizwa!Siku hizi waziri wa afya ni mange na naibu wake ni kigogo.
Hao wanasikilizwa balaa.[emoji16][emoji16].
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeamua kuachana naeNimeona wewe ni hopeless,unaleta masihara kwenye maisha ya watu,huu uzi hauna maana tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjinga wewe naushauri tu ukasome uelewe tofauti ya epidemic, world epidemic na pandemic. Ujinga ni ugonjwa.Omba msamaha faster, nakuona unavyohangaika, very soon naanika uchafu wako. Kama hatuna briefing ya maambukizi ya HIV basi si muhimu covid19
cutelove siyo hivyo, mimi naona siyo muhimu kupanikishana, unajua Ummy alikuwa anapanikisha??? Tuwe wakweli my cutelove hakuna anayependa kusikia habari mbayaNimeona wewe ni hopeless,unaleta masihara kwenye maisha ya watu,huu uzi hauna maana tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wewe, hicho kikao kilipaswa kufanyika December 2019 au January 2020. Pia wizara ina muongozo wa risk ila sijui kwa nini haukufutwaSimfagilii ZZK lkn kumbe kasema kweli mnawachakataji nane tu.mwezi mzima mlikua mnasubiri nini kuwatrain wengine. Hyo mafunzo yatachukua muda gani mpk hao wachakata majibu waweze kufanya bila makosa??? Hichi kikao kilitakiwa kukaliwa wiki tatu zilizopita kuweka mikakati. Hovyo kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
H
Hao ni mawaziri wa nyumbani kwako labda! Na unawasikiliza peke yako!! Usijidanganye kuwa wanasikilizwa!
Hili ni janga sio kama magonjwa ya kila siku. Wanaougua na kufa ni wengi kwa sababu ya serikali yako inayokulipa kupiga propaganda hapa kuficha taarifa kwa wananchi.Taarifa sahihi za nini???? Kwenye kujikinga hapo ok
Hata marekani ugonjwa ulivyoingia walikuwa na ventilators chache. Baadae ndio zikaongezeka. Walikuwa na wodi na vitanda vichache hadi wakachukua meli ya navy kuigeuza wodi. So usibeze kwa sababu we ni rangi nyeusi.Bado mpo kwenye mikakati. Kumbe uwezo wetu wa kukabiliana na huu ugonjwa ni mdogo. Kwanini hamukuchukua hatua kali za kuudhibiti tangu mwanzo?.
Bi mkubwa una mambo ya kitoto sanaOmba msamaha faster, nakuona unavyohangaika, very soon naanika uchafu wako. Kama hatuna briefing ya maambukizi ya HIV basi si muhimu covid19