Jackbauer
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,053
- 2,207
Miaka kadhaa imepita baada ya Tanzania kushuhudia vifo vilivyotokana na usanii wa "Babu wa Loliondo".
Hivi karibuni kule micheweni Zanzibar palizuka uzushi mwingine wa uwepo wa maji yanayotoka ufukweni yakisemekana yanaweza kutibu magonjwa mbalimbali jambo ambalo limebainika sio la kweli.
Pongezi zangu ziwaendee wizara ya Afya Zanzibar kwa kufanya "timely and effective response" na hivyo kutoa ufafanuzi wa kitaalamu na kuepusha mhemuko wa jamii ambao ungepelekea vifo vinavyozuilika.