Tena ukijaribu kuwazuia watakutukana hadi basiWatanzania ukiamua walisha kinyesi watakula maana wengi wagonjwa na wana amini vituvya ajabu ajabu
Wametumia nguvu tu. Kuna maelezo gani ya kitaslamu yaliyowashawishi na kuwatuliza wananchi?Pongezi zangu ziwaendee wizara ya Afya Zanzibar kwa kufanya "timely and effective response" na hivyo kutoa ufafanuzi wa kitaalamu na kuepusha mhemuko wa jamii ambao ungepelekea vifo vinavyozuilika.
[emoji2] [emoji2] wewe kweli ni sexless, hautaki maujhingaujhinga mkuuWametumia nguvu tu. Kuna maelezo gani ya kitaslamu yaliyowashawishi na kuwatuliza wananchi?
After all, Kuna wataalamu wa afya nchi hii? Wako wapi? Wamefanya nn?
Hawa hawa wanywa gongo walioshindwa hata kutengeneza bandage na Panadol?
Eti timely and effective response. Mxiuuuuu! Na kawaidanganya kuwa kuandika kiingereza ndiyo utaalamu??
Huwa siupendi uwongo mkuu. Watu wametumia polisi wakawafukuza wananchi waliokuwa wakijipatia tiba kupitia maji halafu wanakuja kujisifia hapa.[emoji2] [emoji2] wewe kweli ni sexless, hautaki maujhingaujhinga mkuu