msela wa mbagala
Senior Member
- Dec 13, 2019
- 139
- 443
heche mumeo mpumbavu weweHeche ni nani katika Soka la Tanzania? Ni kocha,Refa au nani? Usilete siasa katika Kandanda
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga 2 Simba 1 Refa 1 .
Mkuu nimekushika pabaya mpaka umeanza matusi? Pelekeni Video Fifa mpate ushindiheche mumeo mpumbavu wewe
kwa jinsi ulivyokua popoma siwezi kukuelewesha nenda twitter angalia alichopost john heche urudi hapa
Wanashangilia kwa kumshinda mwamuzi. Leo Yanga wamepambana na mwamuzi zaidi kuliko mikia ambao walipotezwa mno uwanjani.mkuu wanashangiria kama wametupiga mkono [emoji12][emoji12]all in all [emoji196][emoji196][emoji196]wanastahiri pongezi nyingi
Tunguri fc
sema "simba wanaingia na matokeo"Tatizo Yanga wanaingia na matokeo ya ushindi mambo yakigeuka lawama kwa Refa.
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio wewe wa kwanza kulalamika tanzania mzimaAgalia vizuri mfungaji wa goli la 2 ndala fc kama hajaotea. Usiwe kipofu upande wa pili.
Simba kuna mziki gani? Yaani vimeo kama kina Manula ndiyo unaona unawachezaji?
Mshukuruni Jonisia,nadhani atakuwa kapata mchumba mshabiki wa mikia maana hajaolewa ndiyo maana kawapa penati na kuua move za Yanga
Yuko singleAlaaa, Kumbe hajaolewa??🤣🤣
Kama ni nje ya box unajua ingekuwa ni red card kwa Yondani.Foul imechezwa nje ya box unawekaje tuta
Narudia, Manula anachomzidi Kindoki ni kitambulisho cha NIDA tu mengine wanafanana woteHakika nawapongeza sana wachezaji wa Yanga kwa kupambana kwa jasho na damu kwanu muziki wa Mabingwa wa Nchi sio wa Kitoto.Pia wamewanusuru Viongozi wao kutimuliwa Uongozini endapo wangepata kichapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Simba punguzeni Kuroga, chezeni Mpira. Ona sasa mumemuumbua Muddy Mairizi KagereYanga ina matatizo mawili
1.Yanga huwa wanaingia uwanjani na matokeo ya ushindi,mambo yanapowageukiwa lawama zinaenda kwa Refa
2.Yanga huwa hawakubali kupigiwa Penalti na penalti wakipigiwa basi Refa kawaonea ila wao wakipewa penalti ni halali
Sent using Jamii Forums mobile app
Walishajiaminisha Yanga mbovu ndio maana hawaamini walichokiona wameishia kujinunia. Waache kumuamini sana manara mswahili swahili tu yule.
Ila ilikuwa RED CARD kwa Yondani. Swali, mngeweza kucheza na Simba mkiwa pungufu kwa zaidi ya dakika 45?