Hongera Yanga kwa kupambana mziki wa Simba sio mchezo

Hongera Yanga kwa kupambana mziki wa Simba sio mchezo

Yanga leo ilikua na wakati mzuri sana tena sana kuanzia kwenye idara ya viungo na eneo la mwanzo la ushambuliaji.
Walikosa kidogo umakini kwenye umaliziaji tu.

All ni all, dabi hii ya Kaliakoo siku zote yule anayekua yupo vibaya ndio anakuwaga na nafasi nzuri ya kufanya vizuri kwenye mechi kama hii.


Yanga ushindi ×36
Sare ×36
Simba ushindi ×28




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri huu mikia hamukuuchukua ndiyo maana mnahaha
IMG-20200104-WA0017.jpg
 
Simba kuna mziki gani? Yaani vimeo kama kina Manula ndiyo unaona unawachezaji?
Mshukuruni Jonisia,nadhani atakuwa kapata mchumba mshabiki wa mikia maana hajaolewa ndiyo maana kawapa penati na kuua move za Yanga



Alaaa, Kumbe Jonisia hajaolewa??🤣🤣
 
Yanga ina matatizo mawili
1.Yanga huwa wanaingia uwanjani na matokeo ya ushindi,mambo yanapowageukiwa lawama zinaenda kwa Refa
2.Yanga huwa hawakubali kupigiwa Penalti na penalti wakipigiwa basi Refa kawaonea ila wao wakipewa penalti ni halali

Sent using Jamii Forums mobile app
Na Simba punguzeni Kuroga, chezeni Mpira. Ona sasa mumemuumbua Muddy Mairizi Kagere

Nusu life uwanjani baada ya kuvuliwa Hirizi... Aibu sana kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom