Sijui alifuata sheria gani pale walau angekuwa hata kaumia kichwani basi.Asee kuna kipindi Yanga tuliwanyang'anya mpira simba tukapanga shambulizi la hatari, ile tunakaribia kwenye kumi na nane kagere alivoona ile ni hatari akakaa chini na hako karefa kakasimamisha ile move. Nilitamani nikatandike makofi hata kupitia TV asee. Nilishangazwa sana na Yale maamuzi
Hawa vichezaji vyao ni vya magazetini tu vinarukaruka tu. Mpira ni sayansi,ni kitu kinachoonekana siyo janja janja na maneno meengiii! Wamesajili kichezaji kingine promo kibao kichezaji chenyewe kinaenda kwa mikopomikopo tu wao ndo wamekinunuaInawezekana kabisa mkuu. Nami nikuulize swali je nyie mashabiki wa simba kwa yanga ya msimu huu toka umeanza mliamini Yanga ingecheza mpira kama wa jana? So chochote cha wezekana mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeuliza swali nataka mashabiki wa Simba wanijibu Mana yanga kaucheza mpira mwingi na come back ile inaitwa hatupoi ilikuwa Simba afe Tena si chin ya goli 4 na ile game Simba walipunguza kwa mganga wao wa pangani na mkoba mzima alikabidhiwa kagere na jamaa baada ya kutolewa lile hiriz hakumaliza akatoka uwanjaniSimba mliomba game imalizike hata kabla ya dk 10 hivi. Mana hao kina Haruna mida hiyo ndo kwanza wakaanza kupandisha maruhani
Hakuna offside Wawa alivunjaAgalia vizuri mfungaji wa goli la 2 ndala fc kama hajaotea. Usiwe kipofu upande wa pili.
Faulu nje ya box unashindwaje kumpa redcard yondaniFoul imechezwa nje ya box unawekaje tuta
Hiyo sheria haipo siku hiziFaulu nje ya box unashindwaje kumpa redcard yondani
Sasa ikitolewa yellow/red card kwa kuwa foul ipo nje ya box maana yake penalty ifutwe,Na matokeo yatakuwa Yanga 2-1 Simba [emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]Sasa kwa nini haikutolewa red card kama sheria inavyotaka au hata yellow
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi naamini, na niliandika humu kabla ya mechi kuwa kwa sasa kila mchezaji bongo anapenda kujitutumua siku ya mechi na Simba ili na yeye aweze kusajiliwa na matajiri hao.Inawezekana kabisa mkuu. Nami nikuulize swali je nyie mashabiki wa simba kwa yanga ya msimu huu toka umeanza mliamini Yanga ingecheza mpira kama wa jana? So chochote cha wezekana mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli, angalia Stats, mechi nzima Yanga walitawala dakika 20 tu, nazo ni baada ya goli la 2 la Simba, baada ya zile goli mbili za Yanga Simba wakaanza kutandaza football mpaka Boko akagonga besela, lilikuwa la tatu lile.Simba mliomba game imalizike hata kabla ya dk 10 hivi. Mana hao kina Haruna mida hiyo ndo kwanza wakaanza kupandisha maruhani