Hongera Yanga kwa kutaka kurejesha ubingwa wenu wa CAFCL

Hongera Yanga kwa kutaka kurejesha ubingwa wenu wa CAFCL

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
20210908_175333185560.jpg

Huku ni kudhalilishana tu. Watu wa kimataifa mnaposikia hiyo slogan msije mkachukulie watz wote mabogus. Hapana,ni kikundi kidogo tu kimeamua kinaitwa Utopolo.

Waambieni watu Return hii ni kwa mbeleko ya Simba SC
 
Acheni kuwashwawashwa, vumilieni kama tulivyowavulia na slogan zenu mara " total war in Dar" kumbe robo yenyewe kina kirefu.
 
Manara sasa hivi hana content ya maana kwenye press ,hata yeye anajua anachokisema hakiamini anaongea kama kashikiwa bunduki ,Eti Tanzania hii jumla ya makombe yote Yanga ndo inaongoza ,waandishi wakaa kimya na yeye akajishtukia .Halafu siku hizi hataki maswali maana hana majibu
 
Kwahiyo amedanganya?
 
Ila nyie tuacheni uongo, haji manara kanywea sana siku hizi yani hana ule mzuka kama aliokuwa nao kipindi yupo simba .. press conference imepoa kinoma yani ..
Kumbe ata wewe umeliona ilo,Manara wa hamasa akiwa Simba sio huyu wa Yanga,ajafunguka mpaka mwisho.kama kuna kitu hivi kakiacha.
 
Ila nyie tuacheni uongo, haji manara kanywea sana siku hizi yani hana ule mzuka kama aliokuwa nao kipindi yupo simba .. press conference imepoa kinoma yani ..
Hana jipya.
"Akiba ya maneno" ni kwa faida ya kesho yako mwenyewe
 
Back
Top Bottom