Hongera Yanga kwa kutaka kurejesha ubingwa wenu wa CAFCL

Hongera Yanga kwa kutaka kurejesha ubingwa wenu wa CAFCL

Kwahiyo amedanganya?
Angalia hapo uone
IMG-20210908-WA0026.jpg
 
Yanga mmetuzidi makombe ya ligi kuu tu ,kwa makombe yote jumla ligi kuu ,FA ,Mapinduzi ,Mtani jembe ,kagame ,yaani yote wanayoshiriki pamoja kwa jumla Yanga kaachwa mbali sana
Mtani Jembe ni kombe la wapi ndugu? mnahesabu na Supercup la kujipa au
 
Hata Manara alitaja Makombe yote sasa wewe ni nani mpaka ubishe
Mimi ni mtazamaji wa mpira. Na nilipenda mpira kabla ya kupenda timu so I reason unlike you ambaye umeweka upenzi mbele.

To count Mtani Jembe as a trophy is totally illogical.
 
Kwani uongo? Utopolo bhana[emoji28][emoji28][emoji28]
Mtani Jembe ni Bonanza mzee, counting it is a total joke. Be reasonable.

Na hiyo source ambayo unaitumia kama reference hujafanya hata utafiti bali kwenda kuitohoa kwenye page zenu za kishabiki ili kuji-please.

FA cup ilianza tangu 1974, hivyo kusema Yanga imechukua kombe hilo mara moja kama unavyowasilisha kwenye 'source' yenu is wrong!

1975 Yanga ilibeba FA cup, 1994 ilibeba, 1999 ilibeba, 2016 ilibeba pia. Jumla imebeba FA mara 4.

Screenshot_20210908-222618.jpg
 
Back
Top Bottom