Hongera Yanga kwa kutaka kurejesha ubingwa wenu wa CAFCL

Acheni kuwashwawashwa, vumilieni kama tulivyowavulia na slogan zenu mara " total war in Dar" kumbe robo yenyewe kina kirefu.
 
Manara sasa hivi hana content ya maana kwenye press ,hata yeye anajua anachokisema hakiamini anaongea kama kashikiwa bunduki ,Eti Tanzania hii jumla ya makombe yote Yanga ndo inaongoza ,waandishi wakaa kimya na yeye akajishtukia .Halafu siku hizi hataki maswali maana hana majibu
 
Kwahiyo amedanganya?
 
Ila nyie tuacheni uongo, haji manara kanywea sana siku hizi yani hana ule mzuka kama aliokuwa nao kipindi yupo simba .. press conference imepoa kinoma yani ..
Kumbe ata wewe umeliona ilo,Manara wa hamasa akiwa Simba sio huyu wa Yanga,ajafunguka mpaka mwisho.kama kuna kitu hivi kakiacha.
 
Ila nyie tuacheni uongo, haji manara kanywea sana siku hizi yani hana ule mzuka kama aliokuwa nao kipindi yupo simba .. press conference imepoa kinoma yani ..
Hana jipya.
"Akiba ya maneno" ni kwa faida ya kesho yako mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…