Hongera Yanga: Msafara wa Rwanda, Simba mna la kujifunza

Ushamba na ulimbukenitu.
 
Mngekua hata mnanyamaza kidogo...maana hivyo vimchoko vinavyo overtake hovyo..Mungu atulindie majirani zetu..
 
Mechi zinachezwa siku moja,ila tutaona mashabiki wa timu gani watakuwa wengi uwanjani.

Yanga wameondoka na Costa nyingi ila nakuhakikishia simba itakuta mashabiki wengi kule na wataweza kuwa wengi hata zaidi ya Yanga
Tuko Tunduma, tunajiandaa kuvuka.
any time
 
Simba ina mashabiki nchi zote za east Africa & sadc ahiitaji kupeleka mashabiki wengi huko.
Profile ya Simba Africa ni kubwa kuzidi timu zote za east Africa.
Mwandishi Habari Rwanda alisema yanga ina mashabiki wengi kuliko timu yoyote Tanzania , Uganda ndiyo kabisaaa na Burundi na DRC Kama kawaida
 
Unawasifia hao jamaa walioshindwa kwenda kuujaza uwanja katika sikukuu yao, ambapo wangetunisha mapato ya klabu yao moja kwa moja na sasa wanapeleka pesa Rwanda na wakodisha magari!
 
Kuna siku Simba nao watalipiwa nauli km Yanga walivyofanya kwa mashabiki zao.
 
Ila hizi timu zina uongo mwingi Sana Kosta zilizovuka boda si zaidi ya 15 Ila hapa mnasema 40 zimeenda kuongezeka huko Rwanda au kwanini tusiwe tunafanya mambo Kwa uwazi ndio sababu hata viongozi wetu wamekuwa waongo Kwa kutupa ahadi hewa kila siku sababu tumezoea Kuongopewa
 
Hawataenda kuiona power dynamos ya kwao ila wataenda kuiona Simba yenye phiri na chama?au sijakuelewa?
 
Simba basi zaidi ya 12 yanga ana costa 16 mwenye akili ashaelewa nani kafanya vizuri
 
Mechi zinachezwa siku moja,ila tutaona mashabiki wa timu gani watakuwa wengi uwanjani.

Yanga wameondoka na Costa nyingi ila nakuhakikishia simba itakuta mashabiki wengi kule na wataweza kuwa wengi hata zaidi ya Yanga
ni kweli ZAMBIA WACHAWI WENGI KWAHIYO LAZIMA WAJAE KWA WACHAWI WENZAO

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…