denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
- Thread starter
- #21
Hizi droo zetu zimeanza kuwa tabia, naona kama tutazizoea muda si mrefu, lazima tuamke sasa.Mkuu sio viburi bali huo ndo uhalisia tunaendeleza utamaduni wetu wa kutembeza vichapo, kama nyie vitimu vidogo vidogo tu vya hapa mnatoa navyo droo basi kaeni chonjo kaka yenu anakuja toka kazini