Hongera Yanga SC kwa kutinga makundi Shirikisho

Hongera Yanga SC kwa kutinga makundi Shirikisho

Mkuu sio viburi bali huo ndo uhalisia tunaendeleza utamaduni wetu wa kutembeza vichapo, kama nyie vitimu vidogo vidogo tu vya hapa mnatoa navyo droo basi kaeni chonjo kaka yenu anakuja toka kazini
Hizi droo zetu zimeanza kuwa tabia, naona kama tutazizoea muda si mrefu, lazima tuamke sasa.
 
Back
Top Bottom