mzaramo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2006
- 6,371
- 5,186
huyu ana makalio kidogo yule mwengine hata kuvaa gauni anaona aibuMke anafanana na DJ Fetty
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu ana makalio kidogo yule mwengine hata kuvaa gauni anaona aibuMke anafanana na DJ Fetty
Zitto Kabwe kafunga ndoa leo huko Visiwani Zanzibari.
![]()
Siyo mgema mawese? Teh teh teh...Dah, kumbe ilikuwa Zanzibar. Ndiyo maana kila nikimuangalia shemeji yetu namuona kama chotara-chotara, mtoto 'shombe-shombe', mtoto kama kashushwa!
Siyo mgema mawese? Teh teh teh...
na wewe utafanya kimya kimya kama huyu hahahaaaaaaKweli kimya kingi kina mshindo mkuu......
umejuaje mkuu kitu gani kimekuthibitishiaMmh mwenzangu huyo mwanamke sio wife material kaka zito utalia soon nakwambia
Ndoa hupangwa mbinguniYule lecturer kapigwa chini,na kuzaa kote ,na kuishi kama mke na mme ,na kusidikizana mahakamani enzi zile za kesi na Chadema.Leo anaolewa mwingine ?mapenzi ya mwendokasi
...maskini.,polee!..ulitamani uolewe wewe!Mmh mwenzangu huyo mwanamke sio wife material kaka zito utalia soon nakwambia
Hakuna mpwa......mimi nitakualika wewe tu....si unajua tena ndoa za kizee hazina mvuto......na wewe utafanya kimya kimya kama huyu hahahaaaaaa
KHongera Zitto kwa kudumisha Muungano wa Tanganyika na Unguja
Zitto akili kubwa ile.Mmh mwenzangu huyo mwanamke sio wife material kaka zito utalia soon nakwambia
Exactly.kila la kheri.......
Unawahi nini? mkuuMbunge wa mjini leo akmjinamefunga ndoa na mchumba wake Hongera dogo naona sasa atatuliza akili na kuacha kumuattack personMagufuli Magufuli. W mke wa zitto mtulize zitto asiwe ana bwa bwaja hovyo kumnanga rais wetu JPM.
Hakuna ndoa inapangwa mbinguni. Tangu Adam alipomlaumu Mungu kuwa mke aliyemchagulia ndiye aliyemshirikisha kula Tunda, Mungu aliacha kuwapangia wanaume wake!Ndoa hupangwa mbinguni