Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,170
Huyo lecturer ni nani?Yule lecturer kapigwa chini,na kuzaa kote ,na kuishi kama mke na mme ,na kusidikizana mahakamani enzi zile za kesi na Chadema.Leo anaolewa mwingine ?mapenzi ya mwendokasi