Hongera Zitto kwa kufunga ndoa

Hongera Zitto kwa kufunga ndoa

Itakuwa made in Europe.

Hongera na kila la heri katika maisha mapya ya ndoa!
 
Yule lecturer kapigwa chini,na kuzaa kote ,na kuishi kama mke na mme ,na kusidikizana mahakamani enzi zile za kesi na Chadema.Leo anaolewa mwingine ?mapenzi ya mwendokasi
Acha kabisa...yule dada yuko poa sana na zile rasta sasa ni mzuri balaa.Vitu vingine inabidi ushukuru vikitokea.I know she is happy,wherever she is now.
 
Sisi tulio Mwandiga ndo baaaasi tena. Yaani badala ya kuja kufungia harusi kwetu ametupuuuza. Ngoja aje!- Samahani najaribu kufikiri mawazo ya watu wa Kigoma pindi wamuonapo Mwami wao kawatoroka.
 
Amevuka 40 sio? Na mimi nitaoa nikifika umri huo.
 
Kunasomo hapa...wadada mtu akitokea under 40 akisema anataka kukuoa fikiria mara mbili.sikuhizi ndoa nikuanzia 40+
 
Kwa hili nakupongeza Zitto. Mungu awasimamie ktk ndoa yenu.
 
Back
Top Bottom