Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Hahaah huenda.!Mtoa mada naona alikuwa anawahi harusini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaah huenda.!Mtoa mada naona alikuwa anawahi harusini
Kama wewe kisukariBibi harusi mzuri
Anatafakari kitakachojiri baada ya hapo.Mbona kanuna hata hatabasamu
Na kuwaza kama ndoa itadumuAnatafakari kitakachojiri baada ya hapo.
Wewe kwny Reception au sendoff ushakuta kuna kiongozi wa dini wa kufungisha ndoa?JEE ZITTO NI ATHEIST ? HAAMINI UWEPO WA MUNGU ? NAONA ARUSI IKIFUNGWA ILA YA SHEIKH , MZEE WA KIMWANA KAMA TARATIBU ZA KIISLAM. PIA SIONI PADRE KAMA TARATIBU ZA KIKRISTO...
HUKU NUNGWI MARA NYINGI HUFUNGWA NDOA ZA WASIO NA DINI...AMBAPO HUVISHANA PETE WENYEWE MBELE YA MARAFIKI WACHACHE NA WAPIGA PICHA.
AU AMEKIMBIA KULISHA WATU UBWABWA
Picha ya pili hujaiona hapo kavaa kanzuMbona havai kanzu?
Mwandiko wa mwendo kasi!!!Mbunge wa mjini leo akmjinamefunga ndoa na mchumba wake Hongera dogo naona sasa atatuliza akili na kuacha kumuattack personMagufuli Magufuli. W mke wa zitto mtulize zitto asiwe ana bwa bwaja hovyo kumnanga rais wetu JPM.
Inakuhusu dini?Ya kidini au kiserikali lete habari kamiri