sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Zuchu na Rayvanny ndiyo wameibuka kuwa wasanii bora kabisa mwaka huu hapa Afrika Mashariki.
Supastaa Zuchu anakimbiza sana mitaa yote Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Congo DRC, Djibouti n.k.
Kwikwi ni pandemic, watoto wamechanganyikiwa kila kona. Kutoka kuitwa muimba taarab mpaka kuwa brand namba moja ya kike East Africa kiukweli mtoto wa kike anajituma sana.
Rayvanny pure talent, anapiga muziki wa kimataifa usiyo na majungu wala kutaja majina ya watu ili aonewe huruma kila siku. Kijana mwenye focus aliyeelewa vizuri biashara ya muziki na hela ya muziki inapatikana vipi.
Well deserved kwa wote wawili.
Wengine wasubiri tuzo za Basata kila mtu na majaliwa yake.