Hongera Zuchu na Rayvanny kwa ushindi wa kishindo mmeipa heshima Tanzania

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066




Zuchu na Rayvanny ndiyo wameibuka kuwa wasanii bora kabisa mwaka huu hapa Afrika Mashariki.

Supastaa Zuchu anakimbiza sana mitaa yote Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Congo DRC, Djibouti n.k.

Kwikwi ni pandemic, watoto wamechanganyikiwa kila kona. Kutoka kuitwa muimba taarab mpaka kuwa brand namba moja ya kike East Africa kiukweli mtoto wa kike anajituma sana.

Rayvanny pure talent, anapiga muziki wa kimataifa usiyo na majungu wala kutaja majina ya watu ili aonewe huruma kila siku. Kijana mwenye focus aliyeelewa vizuri biashara ya muziki na hela ya muziki inapatikana vipi.

Well deserved kwa wote wawili.

Wengine wasubiri tuzo za Basata kila mtu na majaliwa yake.
 
Samahani mkuu, hivi hapa Mada Ni Zuchu na Tuzo pamoja na jamaa aliyechomekea show yake huko USA au kuna suala la Mmakonde pia?
 
Kipengele cha Best Male wa East Africa alikuwepo Simba na Chui hatimae Chui kabeba tuzo [emoji23]

Maumivu ya Houston hayajapoa yakaja ya Dallas [emoji134]
Ukisikia msumali kwenye kidonda ndio kama hivyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kipengele cha Best Male wa East Africa alikuwepo Simba na Chui hatimae Chui kabeba tuzo [emoji23]

Maumivu ya Houston hayajapoa yakaja ya Dallas [emoji134]
Wapo pamoja muda huu;

Simba: mpenzi vipi show yako imeendaje?

Zuchu: mie nimefuata tuzo yangu, vipi wewe hujapata?

Simba: sijafuatilia hata, mi nilikuwa na show ya maana na imejaza vibaya mno...

HAWACHEKANI HAWA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…