Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Kwanza nianze kumpongeza mh Rais kwa ziara yake anayoendelea nayo mkoani mbeya, Baada ya utangulizi huo naomba Sasa nianze kwa kusema hongera Sanaa mh Rais kwa kuikuza secta ya utalii, kiukweli kwa mafuriko ya watalii yanavyoendelea kushuhudia hapa nchini Nina kila sababu ya kumpongeza mh Rais, maana hii Ni matunda ya juhudi za Rais katika kukuza utaliii kupitia Royal Your iliyosaidia Sanaa kuitangaza vivutio vyetu vya utalii pamoja na kukutana na makampuni mbalimbali ya utalii, lakini vilevile nampongeza mh Rais kwa namna ambavyo ameendelea kuboresha secta ya utalii ikiwemo miundombinu ya Barabara na kuweka Sera nzuri, Asante Sana Rais wetu na Nakuomba uendelee na mwendo huo huo pasipo kuchoka Wala kukata tamaaa,