Hongerani Hauth wa Yemen kwa kushambulia nyasi za Israel na kufanikiwa kufyeka Eneo kubwa

Gift mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2019
Posts
1,856
Reaction score
2,417
Wakati mwingine nafikiri Israel inaachilia makombora yasiyo na madhara ili inapolalamika inavamiwa jumuiya ya mataifa iwaelewe vizuri

Pia inaachia makombora yasiyo na madhara makubwa ili ikilipa kisasi mataifa mengine yaweze kuelewa nani mchokozi na mkorofi
Kwa Sasa Yemen na Lebanon ikipokea kipigo KUTOKA Israel nafikiri Israel haitakuwa na lawana za kimataifa

MWISHO nipongeze houth kwa kufyeka mamilion ya nyasi za Israel 😀😀😀😀😀

downloadfile-4.jpg
downloadfile-3.jpg
 
MWISHO nipongeze houth kwa kufyeka mamilion ya nyasi za Israel [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

View attachment 3096303View attachment 3096307
Hivi hawa magaidi wa kidini hawawezagi kutulia kwenye nchi zao wakajenga uchumi mbona wanaamini kwenye kupigana
 
Hauth inawatafutia Wa Yemen matatizo bure

Kama Hamas ilivyo iletea Gaza kuwa magofu
Yemen...Lebanon...mpk Iran kote huko Israel aende akazipige maana jamaa Wana maguvu sana....wazipige hasa siku wakichoka Kila mtu atamuheshimu mwenzake na kukituliza....
 
Wakati mwingine nafikiri Israel inaachilia makombora yasiyo na madhara ili inapolalamika inavamiwa jumuiya ya mataifa iwaelewe vizuri

Pia inaachia makombora yasiyo na madhara makubwa ili ikilipa kisasi mataifa mengine yaweze kuelewa nani mchokozi na mkorofi
Kwa Sasa Yemen na Lebanon ikipokea kipigo KUTOKA Israel nafikiri Israel haitakuwa na lawana za kimataifa

MWISHO nipongeze houth kwa kufyeka mamilion ya nyasi za Israel 😀😀😀😀😀

View attachment 3096303View attachment 3096307
Train station inawaka moto baada ya kombora la kutungulia kulikosa kombora la houthi
 
Una
Wakati mwingine nafikiri Israel inaachilia makombora yasiyo na madhara ili inapolalamika inavamiwa jumuiya ya mataifa iwaelewe vizuri

Pia inaachia makombora yasiyo na madhara makubwa ili ikilipa kisasi mataifa mengine yaweze kuelewa nani mchokozi na mkorofi
Kwa Sasa Yemen na Lebanon ikipokea kipigo KUTOKA Israel nafikiri Israel haitakuwa na lawana za kimataifa

MWISHO nipongeze houth kwa kufyeka mamilion ya nyasi za Israel 😀😀😀😀😀

View attachment 3096303View attachment 3096307
Unaandika kama vile kibaraka cha Isreal. Wenzio Isreal wanateketea wewe unaweka propaganda humu. Isreal kapewa silaha zote duniani kapewa apigane na Hamas. Mwaka sasa Letanyahu kachanganyikiwa
 
Kombola limepotea bure bila kufikia malengo. Haya magaidi yapenda kupigana kuliko kujiletea maendeleo
 
"Wameshiba acha wapigane kuitafuta njaa na Kuifuta Shibe"
 
Hivi hawa magaidi wa kidini hawawezagi kutulia kwenye nchi zao wakajenga uchumi mbona wanaamini kwenye kupigana
Wewe hujui kwamba hizi dini kila moja ina doctrine yake ambayo ndio dira inayotumika na waumini wa hizo dini ktk kuwaongoza wawe na muonekano gani.
 
Wakati mwingine nafikiri Israel inaachilia makombora yasiyo na madhara ili inapolalamika inavamiwa jumuiya ya mataifa iwaelewe vizuri

Pia inaachia makombora yasiyo na madhara makubwa ili ikilipa kisasi mataifa mengine yaweze kuelewa nani mchokozi na mkorofi
Kwa Sasa Yemen na Lebanon ikipokea kipigo KUTOKA Israel nafikiri Israel haitakuwa na lawana za kimataifa

MWISHO nipongeze houth kwa kufyeka mamilion ya nyasi za Israel 😀😀😀😀😀

View attachment 3096303View attachment 3096307
Taarifa ya chombo cha Israel kinasema kuna majeruhi watano.
Je majeruhi wanapatikana kwenye nyasi!???

Pia hata kama hilo kombora limetua msituni hio inajulisha Yemeni wana uwezo wa kupiga popote ndani ya Israel.
Kwasababu iron dome ilifeli kudungua hilo kombora,na bahati nzuri hilo kombora ni unguided missile.
 
Unaleta mtazamo wa kishambenga katika mambo serious, hapo ulipo pengine hata mlio wa baruti haujui ukoje.
Madhara sio lazima watu na miundombinu kuharibiwa. Raia kupoteza imani ya kuwa Serikali yao inaweza kuwalinda hayo ni madhara pia.
20240709_222133.jpg
 
Back
Top Bottom