Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
Hivi hawa magaidi wa kidini hawawezagi kutulia kwenye nchi zao wakajenga uchumi mbona wanaamini kwenye kupiganaWakati mwingine nafikiri Israel inaachilia makombora yasiyo na madhara ili inapolalamika inavamiwa jumuiya ya mataifa iwaelewe vizuri
Pia inaachia makombora yasiyo na madhara makubwa ili ikilipa kisasi mataifa mengine yaweze kuelewa nani mchokozi na mkorofi
Kwa Sasa Yemen na Lebanon ikipokea kipigo KUTOKA Israel nafikiri Israel haitakuwa na lawana za kimataifa
MWISHO nipongeze houth kwa kufyeka mamilion ya nyasi za Israel [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
View attachment 3096303View attachment 3096307
Wapigane mpk mmojawapo achoke na ku surrender....Hivi hawa magaidi wa kidini hawawezagi kutulia kwenye nchi zao wakajenga uchumi mbona wanaamini kwenye kupigana
Yemen...Lebanon...mpk Iran kote huko Israel aende akazipige maana jamaa Wana maguvu sana....wazipige hasa siku wakichoka Kila mtu atamuheshimu mwenzake na kukituliza....Hauth inawatafutia Wa Yemen matatizo bure
Kama Hamas ilivyo iletea Gaza kuwa magofu
Train station inawaka moto baada ya kombora la kutungulia kulikosa kombora la houthiWakati mwingine nafikiri Israel inaachilia makombora yasiyo na madhara ili inapolalamika inavamiwa jumuiya ya mataifa iwaelewe vizuri
Pia inaachia makombora yasiyo na madhara makubwa ili ikilipa kisasi mataifa mengine yaweze kuelewa nani mchokozi na mkorofi
Kwa Sasa Yemen na Lebanon ikipokea kipigo KUTOKA Israel nafikiri Israel haitakuwa na lawana za kimataifa
MWISHO nipongeze houth kwa kufyeka mamilion ya nyasi za Israel πππππ
View attachment 3096303View attachment 3096307
Unaandika kama vile kibaraka cha Isreal. Wenzio Isreal wanateketea wewe unaweka propaganda humu. Isreal kapewa silaha zote duniani kapewa apigane na Hamas. Mwaka sasa Letanyahu kachanganyikiwaWakati mwingine nafikiri Israel inaachilia makombora yasiyo na madhara ili inapolalamika inavamiwa jumuiya ya mataifa iwaelewe vizuri
Pia inaachia makombora yasiyo na madhara makubwa ili ikilipa kisasi mataifa mengine yaweze kuelewa nani mchokozi na mkorofi
Kwa Sasa Yemen na Lebanon ikipokea kipigo KUTOKA Israel nafikiri Israel haitakuwa na lawana za kimataifa
MWISHO nipongeze houth kwa kufyeka mamilion ya nyasi za Israel πππππ
View attachment 3096303View attachment 3096307
Kombola limepotea bure bila kufikia malengo. Haya magaidi yapenda kupigana kuliko kujiletea maendeleoUna
Unaandika kama vile kibaraka cha Isreal. Wenzio Isreal wanateketea wewe unaweka propaganda humu. Isreal kapewa silaha zote duniani kapewa apigane na Hamas. Mwaka sasa Letanyahu kachanganyikiwa
Isreal bila marekani, NATO , na UNO hata JKT wanawapigaKombola limepotea bure bila kufikia malengo. Haya magaidi yapenda kupigana kuliko kujiletea maendeleo
Wewe hujui kwamba hizi dini kila moja ina doctrine yake ambayo ndio dira inayotumika na waumini wa hizo dini ktk kuwaongoza wawe na muonekano gani.Hivi hawa magaidi wa kidini hawawezagi kutulia kwenye nchi zao wakajenga uchumi mbona wanaamini kwenye kupigana
Taarifa ya chombo cha Israel kinasema kuna majeruhi watano.Wakati mwingine nafikiri Israel inaachilia makombora yasiyo na madhara ili inapolalamika inavamiwa jumuiya ya mataifa iwaelewe vizuri
Pia inaachia makombora yasiyo na madhara makubwa ili ikilipa kisasi mataifa mengine yaweze kuelewa nani mchokozi na mkorofi
Kwa Sasa Yemen na Lebanon ikipokea kipigo KUTOKA Israel nafikiri Israel haitakuwa na lawana za kimataifa
MWISHO nipongeze houth kwa kufyeka mamilion ya nyasi za Israel πππππ
View attachment 3096303View attachment 3096307
Unaleta mtazamo wa kishambenga katika mambo serious, hapo ulipo pengine hata mlio wa baruti haujui ukoje.
Madhara sio lazima watu na miundombinu kuharibiwa. Raia kupoteza imani ya kuwa Serikali yao inaweza kuwalinda hayo ni madhara pia.