π€£π€£π€£π€£Sasa hapo mama anaingiaje ?
Sasa hapo mama anaingiaje ?
Tanzania Imejaa Wajinga Wengi
By Godwin Mollel
ππππππ€£π€£π€£ππππSI JK, Mkapa wala Nyerere waliowahi kutumia ATC kwenye safari zao za rasmi.
Kwa hakika Mollel aliona mbali sana.
Mwaka juzi tarehe 25 December, kuna abiria watatu waliachwa na Air Tanzania ikielekea Mwanza kupitia Chato.... Kisa wamechelewa ku-check in dakika 25 kabla ya muda wa kuondoka. Waliogoma kutoa boarding pass walinishangaza zaidi pale ambapo ndege iliporuka dakika 10 baada ya muda uliopangwa.Sometimes wanaboa, mtanzania mwenzao nafika airport bado dakika 40 ndege iondoke wananiambia nimechelewa?!?! Raia! Na hapo naelekea kigoma? Wawe wanaangalia kwakweli sio kwamba napanga kuchelewa kwa kusudi inatokea Bahati mbaya. Dakika 40 kabla ndege haijaondoka sijachelewa kiivyo
Mkuu Pole kwa yaliyokusibuNakadori umefeli air tanzania pale posta huduma ni nzuri sana na hata mwanza ila operators na wanaowasaidia ni hopeles, siku moja nimepanda ndege inapita chato saa tisa nikafika mwanza saa 2 usiku, tulifika chato mtoto akawa amepotea ambaye walipewa kumsafirisha. Wamezozana hapi masaa 2 ndege ikaondoka chato mida ya saa moja karibia na nusu hivi. Sijawahiona ndege inapiga nilinda ndo nliona siku hiyo, sijaona ndege inaruka bila kutoa maelekezo ndo niliona siku hiyo, sijaona ndege inatua bila tangazo ndo niliona siku hiyo, sijaona ndege ina gain speed ikiwa imekata kona ndo niliona siku hiyo. In short ndege zetu zinakufa sababu ya marubani wazembe. Ndege kwa kawaida inatakiwa iwe na marubani 4 ila ndege zetu nasikia wapo 8 kwa kila ndege
Acha tu, ndege zile airbis vile vijimagazeti sijui toka zimenunuliwa vimo tu havibadilishwi mpaka watu wamevichana katikatiMkuu Pole kwa yaliyokusibu
Ila mimi binafsi nimeongea kuhusu huduma niliyopatiwa na wahudumu wa pale posta na sio kwingineko. Kuhusu hayo mengine inabidi wajirekebishe.
Yani kwakweli hamida wewe unaijua kazi yako na Leo umenitendea haki.