Hongereni Air Tanzania

Hongereni Air Tanzania

Nakadori

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,778
Reaction score
21,010
Habari zenyu wana wa nchi ya Tanzania?

Nipende kuchukua nafasi hii kuwapongeza wafanyakazi wa air Tanzania ofisi ya posta karibu na supermarket ya imalaseko kwa huduma yao nzuri iliyotukuka. Hii ndio aina ya huduma tunayoitaka tunapotaka huduma kwenye mashirika ya umma.

Hawa watu wanahudumia kwa upendo na kwa moyo sana.

Wamenifurahisha na Nimewapenda sana. Mashirika mengine waited mfano huu.
20230218_130641.jpg

20230218_130614.jpg

Uzi tayari.
 
Tanzania Imejaa Wajinga Wengi
By Godwin Mollel
 
SI JK, Mkapa wala Nyerere waliowahi kutumia ATC kwenye safari zao za rasmi.

Kwa hakika Mollel aliona mbali sana.
😂😂😂😂😂🤣🤣🤣😂😂😂😂
 
Sometimes wanaboa, mtanzania mwenzao nafika airport bado dakika 40 ndege iondoke wananiambia nimechelewa?!?! Raia! Na hapo naelekea kigoma? Wawe wanaangalia kwakweli sio kwamba napanga kuchelewa kwa kusudi inatokea Bahati mbaya. Dakika 40 kabla ndege haijaondoka sijachelewa kiivyo
 
Nakadori umefeli air tanzania pale posta huduma ni nzuri sana na hata mwanza ila operators na wanaowasaidia ni hopeles, siku moja nimepanda ndege inapita chato saa tisa nikafika mwanza saa 2 usiku, tulifika chato mtoto akawa amepotea ambaye walipewa kumsafirisha. Wamezozana hapi masaa 2 ndege ikaondoka chato mida ya saa moja karibia na nusu hivi. Sijawahiona ndege inapiga nilinda ndo nliona siku hiyo, sijaona ndege inaruka bila kutoa maelekezo ndo niliona siku hiyo, sijaona ndege inatua bila tangazo ndo niliona siku hiyo, sijaona ndege ina gain speed ikiwa imekata kona ndo niliona siku hiyo. In short ndege zetu zinakufa sababu ya marubani wazembe. Ndege kwa kawaida inatakiwa iwe na marubani 4 ila ndege zetu nasikia wapo 8 kwa kila ndege
 
Mwaka juzi tarehe 25 December, kuna abiria watatu waliachwa na Air Tanzania ikielekea Mwanza kupitia Chato.... Kisa wamechelewa ku-check in dakika 25 kabla ya muda wa kuondoka. Waliogoma kutoa boarding pass walinishangaza zaidi pale ambapo ndege iliporuka dakika 10 baada ya muda uliopangwa.
Kwa vyovyote vile Air Tanzania Company LTD bado wanahitaji kubwa la Customer care! Sikuona mantiki ya kuacha abiria hata kama walichelewa. Hao hao wanaoachwa ndio wanao iwezesha Air Tanzania Company LTD kuendelea kuruka angani. 🤔
 
Nakadori umefeli air tanzania pale posta huduma ni nzuri sana na hata mwanza ila operators na wanaowasaidia ni hopeles, siku moja nimepanda ndege inapita chato saa tisa nikafika mwanza saa 2 usiku, tulifika chato mtoto akawa amepotea ambaye walipewa kumsafirisha. Wamezozana hapi masaa 2 ndege ikaondoka chato mida ya saa moja karibia na nusu hivi. Sijawahiona ndege inapiga nilinda ndo nliona siku hiyo, sijaona ndege inaruka bila kutoa maelekezo ndo niliona siku hiyo, sijaona ndege inatua bila tangazo ndo niliona siku hiyo, sijaona ndege ina gain speed ikiwa imekata kona ndo niliona siku hiyo. In short ndege zetu zinakufa sababu ya marubani wazembe. Ndege kwa kawaida inatakiwa iwe na marubani 4 ila ndege zetu nasikia wapo 8 kwa kila ndege
Mkuu Pole kwa yaliyokusibu
Ila mimi binafsi nimeongea kuhusu huduma niliyopatiwa na wahudumu wa pale posta na sio kwingineko. Kuhusu hayo mengine inabidi wajirekebishe.
Yani kwakweli hamida wewe unaijua kazi yako na Leo umenitendea haki.
 
Acha tu, ndege zile airbis vile vijimagazeti sijui toka zimenunuliwa vimo tu havibadilishwi mpaka watu wamevichana katikati
 
Back
Top Bottom